Hhahahahaaaaaa matofali yamebonyea kutokana na uzito wa lori linalopita hapo limebeba mzigo mzito.
Wanaume mnapata tabu sana, mkipishana na mdada aliyejazia lazima mgeuke nyuma wenyewe mnaita kiwi cha macho. Sie sony wega flat screen akuu hatuna shida tukipita kama sijapaka marashi wala huwezi jua hehehehee poleni.