Nimekumbuka msemo wa mzee mmoja kuwa kila mwanaume lazima awe na toolbox nyumbani kwake.Sio kila kitu unamwita fundiDaah sijawahi kufanyiwa kazi vizuri na fundi cherehani (fundi nguo) nimeamua kujifunza ili niwe najishonea mwenyewe. Huo ujanja ujanja wa hawa mafundi ni fursa kubwa sana ya mtu kupiga hela. Unafanya yale ambayo yabawashinda na kujipigia hela unavyotaka.
Ikiwa Tanzania inaelekea kuwa nchi ya viwanda kama wasemavyo wangu ni wakati wa mafundi (fundi ujenzi,welding,umeme,fenicha nk) kuacha umagumashi.
Mafundi wa mitaani waongo,wezi,matapeli,wadhurumat,hawana bei standard,wanalipua kazi,hawafanyi kwa wakati.Yaani wamekaa kiujanjajanja.Mafundi badilikeni.
Hatutakuja kuendelea maana unakuta mfano kitu flani kumeharibika kinahitaji repair kidogo.Ni bora hata ununue kipya,vinginevyo itakugharimu sana.Wengi hususiwa na wateja wao.Ni bora ununue kabati mchina fomeka kuliko kukimbizana na fundi.
Ingekuwa vizuri huko vyuoni kama VETA wafundishe ethics za fundi.
Wadau mnasemaje?
huhuu fundi ambaye hana magumashi ni kinyozi tuu maana waondoka ukiwa ushanyolewa wengine wotw magumashIkiwa Tanzania inaelekea kuwa nchi ya viwanda kama wasemavyo wangu ni wakati wa mafundi (fundi ujenzi,welding,umeme,fenicha nk) kuacha umagumashi.
Mafundi wa mitaani waongo,wezi,matapeli,wadhurumat,hawana bei standard,wanalipua kazi,hawafanyi kwa wakati.Yaani wamekaa kiujanjajanja.Mafundi badilikeni.
Hatutakuja kuendelea maana unakuta mfano kitu flani kumeharibika kinahitaji repair kidogo.Ni bora hata ununue kipya,vinginevyo itakugharimu sana.Wengi hususiwa na wateja wao.Ni bora ununue kabati mchina fomeka kuliko kukimbizana na fundi.
Ingekuwa vizuri huko vyuoni kama VETA wafundishe ethics za fundi.
Wadau mnasemaje?
Mafundi wa Kenya proffessinal zaidi. Anafungua kifaa anafanya uchunguzi(unalipia uchunguzi), halafu pale pale anakwambia hiki hiki kibovu. Inayo hiari kwenda kununua spare au unamwachia hela ashugulikie. Nimedili na mafundi Kenya mara ya kwanza TV na ya pili DVD player. Nimepeleka mzigo asubuhi amini usiamini kabla mchana napigiwa simu niende kuchukua mzigo!Kuwa funding raha sana unawabamiza Wateja maana hawajui vitu vya kisayansi wakileta Gari fungua bonet mwambie cabuleta, otaneta na sensa vimeharibika. Kama ni redio utasikia transista zimeungua, halafu utaona funding anafungua nati zote anaweka kifaa pembeni anakwambia njoo kesho kutwa.