Mafundi ujenzi wanapatikana Tanga

Mafundi ujenzi wanapatikana Tanga

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Wadau,
Habari za leo?

Napenda kuutangazia umma kuwa,tuna mafundi wazuri sana kwa ajili ya ujenzi wa nyumba na majengo mengine kama hoteli nk.

Pia tuna ramani za nyumba mbalimbali ambazo unaweza kuchagua yeyote uipendayo,pia unaweza kuleta ramani yako na kujengewa kadiri upendavyo.

Pia tunafanya marekebisho katika nyumba kama kubadilisha muundo wa nyumba,kutengeneza uzio nk.

Mafundi wetu ni wazoefu na waaminifu,wanapatikana Tanga mjini.

Gharama zetu ni nafuu na kazi hufanyika kwa muda tutakaokubaliana.

Karibuni wote.
 
Aisee Tanga? ?labda ungesema mahala pengine. ...sijaona mijitu mivivu kama Tanga yani tumefanya projects za civil 3 lakini tulichukua mafundi from dsm! Eti jitu unalipa kazi linasema mie kazi ya zege hapana labda waite wa kutoka bara
 
Hao mafundi wangu ni wa kutoka bara (Moro na Songea) kwa hiyo hawachagui kazi,text time ukiwa na kazi tuwasiliane mkuu.
Sio kila anaishi Tanga ana asili ya Tanga.

Back
Top Bottom