Nakupa laki 2. kioo chacke ni laki nanusu. kama upo Ok nipmWadau nina TV ambayo mtoto aliiangusha hivyo wino ulivuja. Kwa Fundi anayehitaji au MTU yeyote anayeweza kuhiitaji kuitengeneza au spare zake, anitafute. Bei 250.
Niko Temeke, no: 0769630209..
Haijawahi kufunguliwa wala kupelekwa kwa Fundi.