Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim
Sasa mkuu, nna HP ProBook hapa yenyewe nilifungua Microsoft Excel ikaweka mistari na mda mwingine ikawa screen inakuwa nyeupe kuona hivyo nikaizima kwa kuhold power button, kuja kuiwasha inakuwa inawaka na kuzima lakini kioo hakionyeshi tatizo laweza kuwa nini? Samahani lakini kwa kutoka nje ya mada
 
member: 236860"]kuna wabadilisha spares ila hamna fundi wa simu upande wa hardware kwa mtazamo wangu, ila nawakibali kiasi kwa mchango wao![/QUOTE]

Mkuu naomba unitofautishie wabadilisha spea na mafundi?
 
Okwy hiyo issue hukutakiwa kuforce kuuizima file zina corrupt na huwa inaleta short circuit, chakufanya, fungua pc yako, tafuta mswaki au brash ni liquid inaitwa benzene isugue motherboard yote kwamswaki na kimiminika hicho then anika mpk ikauke , ukiirudishia itawaka vizur tu
 
Asante kwa kuliona hili alafu utakuta wala hatukai kata moja
hilo tatizo lipo sana na hiyo inachangia unakuta mtu solution moja unatumia hata miezi miwili kuipata harafu anawaza mtu ni mfundishe siku moja.

lakini inafaa ifike wakati mafundi tuelimike na tuwe na moyo wa kujitolea.

kama mafundi wote duniania wangekuwa hawana moyo wakujitolea inamaana hata sisi wengine tungesipo kuwa mafundi simu.
 
Mkuu ubarikiwe sana tena sana kwa kuleta huu uzi hapa.

Maana wengi ndo tunaianza hii kazi kupitia uzoefu wa jamaa zetu wa karibu ijapokuwa ni jambo jema ukipitia japo kozi ya eletroniki Veta.

Asante mkuu
ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.
na kama simu hauielewi vizuri ni bora ukaingia youtube na ukauliza ni namna gani ya kuifungua.
 
TusingeGOOGLE mkuu na hata tungeGOOGLE tungepata wikpedia tu.

ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.
na kama simu hauielewi vizuri ni bora ukaingia youtube na ukauliza ni namna gani ya kuifungua.
Kwangu tatizo kubwa ni kutrack njia simu zingine hazionyesh njia unashtukia tu ipo pembeni mwa CPU OR POWER IC kutokea katika capacitor.

Kujua keypad lazima njia zake zipitie wapi kwenda wapi kutegemeana na simu,njia za network,njia za Lcd,njia za chaji na n.k
 
na hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.
 
na hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.
Hah hah hah mkuu umenifanya nicheke kama mazuri vileeee.

Bado sijakumbana na simu nyingi za tachi mara nyingi huwa nakumbana na hiz za batani hata hivyo simu nikijua siwez pa kuanzia huwa sioni uvivu kumpelekea mjuz zaid kimya kimya huku nikijifunza kupitia kwake.
 
ni kweli na ufundi somtimes lazima ukubali kula na wenzako. na lazima ukubali kujifunza kutoka kwa mafundi wengine na kama unavyo jua ufundi hauna mwisho.
kwa mfano hata ww unaweza kunfundisha kitu ambacho mm sikuji japo kuwa mm nina muda mrefu kidogo kwenye ufundi.
 
na hiyo imesababisha mafundi wengi wa simu waukimbie ufundi nakumbuka kuna jamaa yangu mmoja amewahi kuua kioo cha iphene 6 plus na saizi alisha kimbia mjini.
mkuu, unapatikana wapi? Mi nipo Dar kuna kazi nataka nikuletee.. NB; Mimi najihusisha na Software
 
Hivi kazi kubwa ya capacitor,resistor,Diode n.k
Maana kuna wakati simu simu inaweza ikawa haiwaki kupima tu unagundua ina short ktk capacitor lakin ukiitoa bila kubadili nyingine simu inawaka na unaitumia.

Kwa kiswahili nini maana ya
3.7wh?
3.7V?
10000mAh?
Ac100?
Dv24?
60Hz?
200mA?
 
Mimi ni fundi wa software na hadware pia nilianza na hardware Nina nafasi ya kujibu kotekote lakini nitakuwa na mipika
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…