Lelon Mush
Member
- Sep 16, 2019
- 64
- 15
Msaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye picha
Hapo nahisi kuna files zime missMsaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye pichaView attachment 1462789
Msaada nataka kuflash Tecno F1 kwenye sp flash tools inaleta huo ujumbe kwenye pichaView attachment 1462789
without box?Mkuu tumia tools maalumu kuflashia hizo factory signed file, kuna baadhi ya file hazikubali kwenye sp.
without box?
Boss naomba link kama unayoYeah without box
Ipige file mpya tu mkuuDaah hizi simu za tecno F1 nyingi tatizo kuna moj nimeiweka kwenye begi nilibonyeza system update bila kuwasha data na ikazima chaji sasa ikawa inataka nifanye fastboost nikafanya pia ikaishia kati ikagoma mazima sasa hata cjui niifanyaje asee maan simu bado inadai kabisa wakuu msaada anae weza hata kuiflash anicheki tunaweza pozana hata ya soda anicheki kwa namba hizi 0710082949 na 0625603587
Nawezaje fanya ivo mzee kama unaweza nikutafute nitakupoza mzee
Wait mkuu Nitakupa maelezo soonNawezaje fanya ivo mzee kama unaweza nikutafute nitakupoza mzee
Fanya ivo mkuu nakuwait
Sasa hapo unatakiwa kuread info tujue firmware versionFanya ivo mkuu nakuwait
Yeah ipo Pc Dell ina window 8.1 64bitSasa hapo unatakiwa kuread info tujue firmware version
Pc si unayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pakua hizi filesYeah ipo Pc Dell ina window 8.1 64bit
Alfu simu ni tecno F1 8e+1
Tayari mkuu nasubir maelekezo ya ziadaPakua hizi files
File on MEGA
Miracle MTK DRIVER Setup.exe | by MIRACLE TEAM for Miracle Box
Ukimalza niambie
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hapo tayarTayari mkuu nasubir maelekezo ya ziada
Fuata haya maelekezo ku disable drivers signature enforcementTayari mkuu nasubir maelekezo ya ziada