Hizo vitu ni msaada sana ila universal wakati mwingine inaweza kukuzungusha hata mara tatu ndipo ukapatia yaani ni ya kubahatisha. Ukipata stencils ambazo kwa asilimia kubwa ni specific kwa bga nyingi mambo huwa barabra.
Sent from my cupboard using mug