Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Apr 25, 2012 #1 Habari wadau? Je wajua wapo wapi?Ntashukuru mkinijuza. . Nawasilisha
ossy JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 872 Reaction score 143 Apr 25, 2012 #2 nenda mitaa ya msikiti wa ijumaa mkuu,kama unashuka kwenda soko kuu kuna mshikaji mmoja jna lake limenitoka kidogo lakini ni fundi poa sana kaka....anaitwa kati ya mwamedi au said.
nenda mitaa ya msikiti wa ijumaa mkuu,kama unashuka kwenda soko kuu kuna mshikaji mmoja jna lake limenitoka kidogo lakini ni fundi poa sana kaka....anaitwa kati ya mwamedi au said.
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Apr 25, 2012 Thread starter #3 Thanks kaka