LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,204
wakuu najua hapa nimahali sahihi ambapo watu wanashauriwa na kupewa ufafanuzi wa matatizo ya vyombo vya moto .hivyo ingekuwa si vibaya sana kwa wale mafundi au wenye ujuzi katika sekta fulani wakajitambulisha ,kuwa wamebobea kwenye fani gani ikiwezekana wanapatikana wapi na mawasiliano yao.
mfano kama ww ni fundi umeme wa magari,fundi engine ,mechanical,fundi rangi,body ,fundi gesi,fundi gear box,fundi A/C ,kuziba pancha au ni mtu wa kupimp magari n.k ikiwezekana na wapatikana maeneo gani mkoa gani na itakuwa vizuri zaidi kama utaweka na mawasiliano yako.