Mafundi carpenter structure and form work na majukwaa (scaffolding)

danikiruma

Senior Member
Joined
Feb 25, 2019
Posts
101
Reaction score
76
Kama kichwa cha habari kilivyojielekeza ndugu Watanzania wenzangu.

Mimi Ni fundi carpenter na pia Ni mtaalam wa Scaffolding za aina zote iwe ya mirunda,bomba (black pipes) au (Scaffold special)zinazoitwa election system Scaffold au cuping system Scaffold zote hizi tunafanya.!!

Lakini pia tunafanya form work za Ina zote na sirub colum and beam kwa jengo la ghorofa na majengo ya aina yoyote ile pia tunafnaya decoration na roofing yaaani kupaua na kufunga gpsum board na urembo wa aina zote kwenye nyumba za kawaida hata za ghorofa.

Mawasiliano 0682164847 au 0675196845 karibuni Sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…