Mafundi body na engine pitieni Uzi huu

Alafu wapi wanachomelea bodi za magari na bei zake kwa mkoa wa dar maana gari yAngu(suv car) inakutu na matobo.
 
Hivi mafundi taa ya start engine ikiwaka kwenye GARI maana yake ni nini?
 
Pablo Blanco hapa Johannesburg yapo mengi shida ni gharama ya kulibeba mpaka zambia tuu maana pale mpaka Nakonde sio gharama kupakia mizigo truck nyingi zinarudi tupu Tanzania ukikosa kabisa tukijaaliwa mwezi wa pili napakia tractor kuja Tanzania tutawasiliana yapo mengi na bei hayana ila kubeba ndio itakua juu kidogo...
 
Aisee pamoja brother, tutawasiliana
 
Back
Top Bottom