Kwani mafundi selemala wapo kwa jiri ya kazi gani zingatia hapo nimesema design ningetaka kununua ningeenda maduka ya furniture nichukue kabati lolote nalo litaka, lkn Asante kwa ushaurikabati la laki 3 unaenda kuchukua design pin interest, wakati kuna makabati yameshatengenezwa tena super Brand, still ungeweza kutumia apps za online marketing kama jiji, instagram ukatafuta design hiyo au uka order wakutengenezee uwe unaenda kukagua. Afadhali kama ungetaka indoor design ujengewe ndani ya nyumba hapo sawa. Next time muwe mnaomba ushauri hata uliza watu, sio yakishakukuta ndo unakuja huku na kushindwa kwako kutumia akili tu za kawaida.
Dah aisee pole sanaMaf
Mafundi ni wa ovyo walio wengi mkuu!Mimi kuna fundi Tena ndugu yangu na nilimleta Dodoma!Cha ajabu ndo kanila kichwa kwa kunilia hela za kutengeneza vinu vya kusaga na kukoboa m1.5Nilimpeleka pollisi mwisho wa siku nimepotezea.
Atakuwa fundi Maiko huyo maana Jumamosi na Jumapili alishinda pale mitimirefu panapouzwa kitimoto.kabati la laki 3 unaenda kuchukua design pin interest, wakati kuna makabati yameshatengenezwa tena super Brand, still ungeweza kutumia apps za online marketing kama jiji, instagram ukatafuta design hiyo au uka order wakutengenezee uwe unaenda kukagua. Afadhali kama ungetaka indoor design ujengewe ndani ya nyumba hapo sawa. Next time muwe mnaomba ushauri hata uliza watu, sio yakishakukuta ndo unakuja huku na kushindwa kwako kutumia akili tu za kawaida.
kabati la laki 3 unaenda kuchukua design pin interest, wakati kuna makabati yameshatengenezwa tena super Brand, still ungeweza kutumia apps za online marketing kama jiji, instagram ukatafuta design hiyo au uka order wakutengenezee uwe unaenda kukagua. Afadhali kama ungetaka indoor design ujengewe ndani ya nyumba hapo sawa. Next time muwe mnaomba ushauri hata uliza watu, sio yakishakukuta ndo unakuja huku na kushindwa kwako kutumia akili tu za kawaida.
Utakuwa na wahuni wangapi ?Habarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.
Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa nime-download kutoka Pinterest basi tukakubaliana bei alinambia jumla itakuwa laki tatu sikubisha.
Akasema nimpe kwanza advance laki na nusu ili aanze kazi nikampa, tulikubaliana wiki mbili itakuwa tayari lakini cha ajabu baada ya wiki kuisha akawa ananipigia simu kuomba hela mara aniambie hii ya rangi hii ya body mambo kibao nakuja kupiga hesabu nishampa kama laki tatu na elfu sabini na mpaka muda huu sijapata kabati langu
Nafikiria kujichukulia sheria mkononi nivamie ofisi yake.
Mafundi wengi wezi...Mimi nimempa advance ili anichongee milango ila naona sasa ni utata mtupu...niliona anazidi kudai hela tu.. mara grinder mbovu mara sijui nini...nikamwambia inamaana unategeamea pesa yangu pekee kuendesha ofisi yako!? Hakuna kazi za wengine hapo....yaani mpaka sasa hivi nahisi nimeibiwa tu...kibaya zaidi niliunganishwa na mtu mzima ninae heshimiana nae...sasa sijui nitaishia wapiiHabarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.
Iko hivi miezi miwili nyuma mwezi September nilikuwa na mpango wa kutengeneza kabati la nguo la mbao haya ya kisasa, nikatafuta fundi nikamuonesha design nilikuwa nime-download kutoka Pinterest basi tukakubaliana bei alinambia jumla itakuwa laki tatu sikubisha.
Akasema nimpe kwanza advance laki na nusu ili aanze kazi nikampa, tulikubaliana wiki mbili itakuwa tayari lakini cha ajabu baada ya wiki kuisha akawa ananipigia simu kuomba hela mara aniambie hii ya rangi hii ya body mambo kibao nakuja kupiga hesabu nishampa kama laki tatu na elfu sabini na mpaka muda huu sijapata kabati langu
Nafikiria kujichukulia sheria mkononi nivamie ofisi yake.
Aisee mafundi ni tatizo wameamua kuendesha biashara yao bila mtaji na haya ndo mazara bora kwenda maduka ya furniture tuMafundi wengi wezi...Mimi nimempa advance ili anichongee milango ila naona sasa ni utata mtupu...niliona anazidi kudai hela tu.. mara grinder mbovu mara sijui nini...nikamwambia inamaana unategeamea pesa yangu pekee kuendesha ofisi yako!? Hakuna kazi za wengine hapo....yaani mpaka sasa hivi nahisi nimeibiwa tu...kibaya zaidi niliunganishwa na mtu mzima ninae heshimiana nae...sasa sijui nitaishia wapii
Kamata mali yake yenye dhamani zaido. Sema ulipaswa kununua tu maana mafundi wengi njaa sanaHabarini wanaJF, binafsi sio mwandishi mzuri ila kwa hili lililonikuta na huyu fundi selemala nimeona bora niandike niombe ushauri.