Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,277
- 5,838
Amani iwe nanyi!
Hii nimeikuta eatv kwenye post ya mapema leo naona, rais amesema mafisadi na wahujumu uchumi yakimshinda ainahaja ya yeye kuitwa rais,
Nikajadili na wadau tukaona hakuna awaye yeyote ambae atafua dafu kwa magu kutoka upinzani wala ndani ya ccm ambae atakubalika na wananchi kama Magufuli kwasababu amewafikisha kileleni watanzania woote nakuwaacha wapinzani katika mateso makali maana wananchi kwa sasa wanawapuuza.
Sasa ndio wa wakati wa kuona upinzani makini wenyekujenga hoja zenye mashiko na nyepesi nyepesi maana serikali hii sii ya mtelezo kama iliyopita laa sivo waelekeze nguvu zao zooote kwenye majimbo yao ili kutetea wasipotee kabisa mjengoni na kufanya nchi iwe ya chama kimoja.
Ni mimi chadema Asili kupitia ukawa. Nawasilisha