NImeona kwenye uzi mmoja kuna mdau amesema ni mazuri kwahiyo nimemuomba anijuze zaidi manake maisha haya sio ya kulipa kitu halafu baada ya mwaka mmoja, kinabaki kuwa mzigo na hata kwa kuutupia hakuna!Japo sijawahi kutumia hayo mafriji lkn wengi watumiaji wa hayo mafriji wanasema ni mazuri sana
I see! Yaani unamanisha hili bati la nje>>>Ni mafriji mazuri ila bati lake linashika kutu kirahisi sana
Ok, sio hili lenye rangi ya silver, ukikuta lile rangi nyeupe ndio linapata kutu kirahisi [emoji106]I see! Yaani unamanisha hili bati la nje>>>
View attachment 1112319
Nahisi kuna utofauti kwenye material, maana kama ilivyokuwa tofauti ya mabati ya zamani baina ya Galco na mabati mengine, tumeelewana myplusbee sorry sana kwa kutokuelewa unamaanisha Boss zipi. Hayo rangi ya silver yako vizuri.[emoji106][emoji106][emoji106]Ok, sio hili lenye rangi ya silver, ukikuta lile rangi nyeupe ndio linapata kutu kirahisi [emoji106]
Okay, nimekusoma, manake nilishituka kuona hata hiyo shining materia na yenyewe ni ya hovyo!Ok, sio hili lenye rangi ya silver, ukikuta lile rangi nyeupe ndio linapata kutu kirahisi [emoji106]
Nothing to say sorry man! Kwanza umenisaidia sana kwa sababu ndo umenikumbusha kwamba kuna yale meupe ambayo nilishayasahau! Hii itanisaidia hata siku nikitaka kununua, naweka wazi kwamba sihitaji yale meupe!Nahisi kuna utofauti kwenye material, maana kama ilivyokuwa tofauti ya mabati ya zamani baina ya Galco na mabati mengine, tumeelewana myplusbee sorry sana kwa kutokuelewa unamaanisha Boss zipi. Hayo rangi ya silver yako vizuri.[emoji106][emoji106][emoji106]
Yaa nyeupe hasara mkuu...!! silver ndo yenyeweeOk, sio hili lenye rangi ya silver, ukikuta lile rangi nyeupe ndio linapata kutu kirahisi [emoji106]
Kwahiyo kwa maoni yako, haya mafriji yapo poa tu!Yaa nyeupe hasara mkuu...!! silver ndo yenyewee
Yaah mazuri sana ne nina aborder.. Sema chagua rangi ya silver...Kwahiyo kwa maoni yako, haya mafriji yapo poa tu!
Poa Kiongozi, na target yangu ndo hiyo hiyo silver kama nililoweka hapo juu!Yaah mazuri sana ne nina aborder.. Sema chagua rangi ya silver...
Hata jeupe zuri aisee sema inatakiwa usiwe mvivu kulisafishaLoading.
I see, thanks for the heads up princess!! Sema baadae nilibadili wazo na kuhamia Sharp.Hata jeupe zuri aisee sema inatakiwa usiwe mvivu kulisafisha
Ooh sawa, mimi nilinunua boss jeupe...sijawahi kujutaI see, thanks for the heads up princess!! Sema baadae nilibadili wazo na kuhamia Sharp.
I wish ningepata hii contribution kabla sijafanya maamuzi.Ooh sawa, mimi nilinunua boss jeupe...sijawahi kujuta