Mafisadi wanatesa mtaani, wanaharakati wananyanyaswa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mafisadi wanatesa mtaani, wanaharakati wananyanyaswa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by msukwaa, Jun 5, 2011.

 1. m

  msukwaa Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  aibu kwa hao green guard (police) yan mafisadi wanatesa tu mtaani wao wapo busy kutekeleza mawazo na fikra za mwenyekiti kuwanyanyasa wapinzan....
  naona ameanza kucopy ya mwenzie museveni na besigye.
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa kununua au kujua kutumia kompyuta maana leo uko katika kujaribu kuitumia ndo maana toka 2008 ndo umeibuka leo, tena kwa kutoa hoja tasa ambayo haina hata mashiko. Hivi ulitaka watu wajiingize katika lawlessness halafu waachwe tu?
   
 3. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  jamani wanachadema kuweni wavumilivu na wenye busara katika kipindi hiki........................... nionavyo, si mahakama ya hakimu mkazi wa arusha wala polisi wenye makosa na nawezekana pia kuwa hata mbowe na mdhamini wake pia hawana makosa..................

  ishu hapa ni sheria ifuatwe iwe kwa chadema au kwa ccm au nani mwingine................. kumbukeni mramba alikuwa mbunge wa ccm na kila akitaka kwenda kuhudhuria vikao vya bunge dodoma ilikuwa lazima apate ruhusa ya mahakama kwa sababu moja ya masharti ya dhamana yake ilikuwa asitoke nje ya dar bila ruhusa ya mahakama..................... ina maana kuwa kama angeenda dodoma bila ruhusa mahaka ingeweza kuamuru akamatwe popote ambapo angeonekana na kupelekwa mbele ya mahakama/rumande................

  sasa naamini hakimu kwa kuamuru mbowe kukamatwa baada ya yeye mwenyewe pamoja na mdhamini wae kutofika mahakamani yuko sahihi kama sharti la dhamana yake lilikuwa hivyo au sheria inataka hivyo................. polisi nao wanatekeleza amri ya mahakama, kumbukeni mahakama ndicho chombo cha kutafsiri sheria na polisi hawako katika nafasi ya kuifundisha mahakama tafsiri ya sheria, so wao kazi yao ni kutekeleza tu agizo la mahakama na huu ndio utawala bora....................

  kumbukeni hapa polisi hawatekelezi amri ya mwanasiasa yoyote, bali amri ya mahakama................... ingekuwa busara sana kama mbowe baada ya kusikia imetolewa amri angejisalimisha mwenyewe mapema na kujitetea kuhuisha dhamana yake badala ya yeye na akina tundu kujiona wanajia sheria zaidi ya watu wengine waliopewa dhamana ya kuzitafsiri sheria.............

  kuwepo ushahidi kuwa polisi huomba ruhusa ya spika kila wanapotaka kumhoji mbunge wa ccm na hawafanyi hivyo kwa wabunge wa chadema, hakutoshi kuwaruhusu kupuuza wito wa mahakama................ tafakarini vizuri hapo ndugu zangu................

  hapo hawakuwa polisi bali mahakama ndiyo inayomtaka mbowe mahakamani................ pilisi ni watekelezaji tu na hawawezi kupinga vinginevyo watakuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao...............

  kama kuna cha kukosoa, basi wa kukosolewa ni hakimu kama kuna sheria ameitafsiri ndivyo sivyo.................. pamoja na mbowe mwenyewe na wadhamini wake kwa kutojipanga............... wanasheria wake nao lazima walaumiwe kwa kushindwa kumshauri mteja wao ipasavyo kuepuka usumbufu wote huu.............. pia sioni mantiki ya kusema kuwa maadam mafisadi hawajakamatwa, basi mbowe naye anapaswa kutokamatwa, sijawahi kuona tafsiri ya aina hii ya sheria popote duniani........................
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,470
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Mkuu upo sawa kichwani?
   
 5. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 8,314
  Likes Received: 5,032
  Trophy Points: 280
  Mkuu unafikiri atakujibu nini?,
  anaweza akasema yeye ni mbovu wakati kajipinda na maandishi katia rangi kabisa
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,278
  Likes Received: 14,518
  Trophy Points: 280
  kwani kuwa na post nyingi ndio kuonyesha kuwa wewe ni genious? acha kuvuta majani
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 3,996
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  This was uncalled for. Ninaamini kuwa kuna agenda rasmi ya ku harrass viongozi wa upinzani kwa kuwakamata. Mark my words, this action will backfire kwa vile kitendo hicho kinaonyesha wazi kuwa chama tawala kinahofia kasi ya upinzani na suluhisho lao ni kutumia vyombo kandamizi vya dola. Vitendo hivyo vinaonekana kwa wananchi wote, na watakachokifanya wananchi ni kuugeuzia mgongo chama tawala. Time will tell.
   
 8. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 780
  Trophy Points: 280
  Yarudie tena hayo maandishi mekundu alafu ujipime uwezo wako wa kufikiri.
   
Loading...