...prosecutors wengi wa States wanapenda kukata deals za namna hii na mara nyingi zina work kwa kuua mtandao na ku recover wanachotaka,maana sometimes haisaidii kumfungia mtu jela bora kupata ulichopoteza na kusambaratisha mtandao wa uhalifu....mara nyingi ,drugdealers,wallstreet,whitecollar criminals wanasambaratishwa kwa style hii,hata mafia walimalizwa kwa style hii...nafikiri inaweza kufanya kazi vizuri bongo lakini sijui watakohusika wataelewa seriousness ya hii kitu na kuanza kudanganya maana sijui kama wataamini na promise zitakuwa kept,honesty bado ni issue hata kwenye system,wengine watafikiri ni mitego tuu ya kuwaweka jela maisha na kutaifisha mali na maofisa wetu wanaweza wasi keep promise na kuwalinda waliosaidia...tujaribu lakini.
Ndio maana niliandika kwamba inaweza kusaidia ili pesa/mali irudishwe, kwa sababu mali zao ndio zitakuwa dhamana yao na wakidanganya inaweza kugundulika kwa sababu sio kwamba UWT haijui jinsi mambo yanavyofanyika na ndugu zao hawajulikani, na hata kama hawatarudisha zoote hata wakirudisha zaidi ya asilimia sabini (70%) itakuwa ni afadhaliiDeals? Why deals? Thats why we have DPPs and PCCB. We dont need no deals with these bastards. Jela watakwenda na fedha zetu watarudisha. Thats the best deal they will ever get.
Unajua hapa unapaswa kutofautisha mwizi anayeiba au anayefanya drug deals kama kwenye American Gangster bila kujulikana anapataje hela au anafanya deals gani, umtofautishe na mtu anayetumia madaraka vibaya na kuiba kodi za wavuja jasho. Mbinu wanazotumia viongozi wa serikali kuiba zinafahamika. Mbinu alizotumia Yona na Mramba kuiba zilikuwa zinafahamika hata kabla hawajatekeleza wizi wenyewe. Suala la Alex Stewart liliandikwa na kupigiwa kelele na wananchi. Suala la radar na ndege ya rais vilipigiwa kelele na wananchi wote. Hakuna kipya hapa. Hawa jamaa walikuwa wanatumia ubabe tu kuwaibia watanzania.
Why should we give em deals? Wizi mtupu!
Saxby Chambliss............