Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,575
Kuna taarifa kuwa dr.slaa akiwa na viongozi wa vyama vinne kesho watatoa kombora la lala salam , ili kuweza kuanika mbinu za mafisadi walizoweza kutumia kwenye kutuibia pesa zetu walalahoi wa taifa hili.\\
\Tukio hilo litafanyika majira ya saa nne kamili asubuhi kwenye ukumbi wa urafiki pale maeneo ya manzese ili kuweza kuzungumza na wananchi juu ya hali hiyo.\
\
Stay tuned kama tukipata hizo data kesho tutaziweka hapa ili kuweza kuzijadili kwa kina na kuangalia kulikoni na kama atatoa ushaidi sijui ........\
\Nawatakia mpambano mwema