Mafisadi torokeni mmfuate fisadi mwenzenu kabla magufuli hajaapishwa

shikulaushinye

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
828
456
Nasikia UKAWA wakisema kuwa TOROKA UJE, me ninavyojua mtu anayetoroka huwa ana makosa, asiye na makosa huwa hatoroki, bali huwa anaomba ruhusa au anaondoka tu. kumbuka kutoroka shule, kutoroka kazini, na nk. ina maana unaondoka baada ya makosa. Hivyo wale wote wanaotoroka CCM wanatoroka kwa sababu wana makosa na makosa yenyewe ni wizi na ufisadi, naomba watoroke mapema kabla magufuli hayajafungwa, sijui watawekwa sero moja au watasambazwa mikoa yote. tunaomba magereza yasiboreshwe.
 
Maji hufuata mkondo...mafisadi wote wanapupitikia ukawa kwa baba lao
 
Nasikia UKAWA wakisema kuwa TOROKA UJE, me ninavyojua mtu anayetoroka huwa ana makosa, asiye na makosa huwa hatoroki, bali huwa anaomba ruhusa au anaondoka tu. kumbuka kutoroka shule, kutoroka kazini, na nk. ina maana unaondoka baada ya makosa. Hivyo wale wote wanaotoroka CCM wanatoroka kwa sababu wana makosa na makosa yenyewe ni wizi na ufisadi, naomba watoroke mapema kabla magufuli hayajafungwa, sijui watawekwa sero moja au watasambazwa mikoa yote. tunaomba magereza yasiboreshwe.

Tumeshtuka CCM hakufai bila kuwa fisadi wewe siyo mwadilifu,TORAKA uje UKAWA
 
........ Hivyo wale wote wanaotoroka CCM wanatoroka kwa sababu wana makosa na makosa yenyewe ni wizi na ufisadi, naomba watoroke mapema kabla magufuli hayajafungwa, sijui watawekwa sero moja au watasambazwa mikoa yote. tunaomba magereza yasiboreshwe.

Huko waliko si ndio wamezaliwa, wakajifunza na kubobea kwenye ufisadi? Na hilo ndio tatizo letu kwamba tunajitahidi kukiua hicho kiwanda cha kuzalisha mafisadi.

Hilo la kutumia neno toroka hata sioni shida, usishangae kesho mgombea wa chama tawala akalitumia kwenye kampeni zake kama alivyofanya M4C!
 
Mwizi akawafunge wezi wenzio! thubutu! ni kweli CCM ni wezi lkn FISADI mkuu kanunua chama na wezi wote wanatorokea huko. ulishwahi kutoroka shule au kazini? kwa nini ulitoroka? kwa nn hukuondoka tu? kashanunua chama nendeni kwa baba yenu aliye UKAWA. (1DR.SLAA = 1,000,000 KINGUNGE)
 
Kuna kitu haukisemi, nimekuuliza huko waliko si ndio wamepata hiyo sifa ya kua wezi na mafisadi? Ina maana huko ndio kuna kiwanda cha kuwazalisha hao wezi na mafisadi na sisi mwaka huu tunachopambana nancho ni kukiua hicho kiwanda. Kila anaeondoka CCM anaitwa fisadi au mwizi, ni kusema huko wote wezi na mafisadi.
 
Uzi wako wa kipuuz , siku nyingine jaribu kutuletea uzi wenye mashiko , tukisoma tuweze kupata hata maarifa kidgo
 
Mwenye akili anaona na kusikia wasemavyo wale wanao juana kwamba wafuate mkuu wa kazi Yao ya ufisadi sababu fagio la chuma linakuja kuondowa uchafu wa ufisadi na wahusika wote wana tupwa jalalani, kwaiyo wanaitana ili waokowe Maisha na ufisadi wao

Hapa kazi tu ushindi niwetu
 
Kuna kitu haukisemi, nimekuuliza huko waliko si ndio wamepata hiyo sifa ya kua wezi na mafisadi? Ina maana huko ndio kuna kiwanda cha kuwazalisha hao wezi na mafisadi na sisi mwaka huu tunachopambana nancho ni kukiua hicho kiwanda. Kila anaeondoka CCM anaitwa fisadi au mwizi, ni kusema huko wote wezi na mafisadi.

Nakubaliana na ww CCM ni wezi lkn tabia ya wizi haifundishwi mtu huzaliwa nayo, unataka kuniambia CCM wote ni wezi/ wapo km akina mzee warioba, mzee joseph butiku, akina mwakyusa na wengine wengi. wapo wezi wanapenda utajiri wa haraka na hao ndiyo wanaosumbua kwa sasa wakiondoka wote basi UKAWA ndiyo chaka la wezi badala ya CCM. kwa sababu qualified fisadi wote wanaondoka, km unavyojua wapigaji hawazidi 10 na wote wanamuunga mkono EL. Kundi kubwa linaongozwa na wahindi na waarabau na waswahilli km 2 tu.
 
Huko waliko si ndio wamezaliwa, wakajifunza na kubobea kwenye ufisadi? Na hilo ndio tatizo letu kwamba tunajitahidi kukiua hicho kiwanda cha kuzalisha mafisadi.

Hilo la kutumia neno toroka hata sioni shida, usishangae kesho mgombea wa chama tawala akalitumia kwenye kampeni zake kama alivyofanya M4C!

Safari hii fagio la chuma linakuja, sijui km watapona bora watoroke wakajipange jinsi ya kulinda hiyo mipesa iliyopo nje. maana saa ya ukombozi inakuja.
 
Uzi wako wa kipuuz , siku nyingine jaribu kutuletea uzi wenye mashiko , tukisoma tuweze kupata hata maarifa kidgo

Nenda kwenye tamasha la kumpokea kingunge pale bahari beach. torokeni muondoke saa ya maajbu inakuja na mwizi mwenzenu.
 
Nasikia UKAWA wakisema kuwa TOROKA UJE, me ninavyojua mtu anayetoroka huwa ana makosa, asiye na makosa huwa hatoroki, bali huwa anaomba ruhusa au anaondoka tu. kumbuka kutoroka shule, kutoroka kazini, na nk. ina maana unaondoka baada ya makosa. Hivyo wale wote wanaotoroka CCM wanatoroka kwa sababu wana makosa na makosa yenyewe ni wizi na ufisadi, naomba watoroke mapema kabla magufuli hayajafungwa, sijui watawekwa sero moja au watasambazwa mikoa yote. tunaomba magereza yasiboreshwe.

Kama wanaotoroka ni mafisadi basi mwenyekiti taifa wa ccm atakuwa wa kwanza.
 
Haya badala ya kuungalia hali halisi tunaanza kucheza na misemo. Lugha tuwaachie wataalamu wake. Tungo tata ni kitu cha kawaida. Mfano: Kanopikie mwanangu! Inaweza kuwa na maana ngapi?
 
Wakati na matukio unaeleza zaidi maana ya msemo huu nao ni toka huko kimbia uje huku
 
Nakubaliana na ww CCM ni wezi lkn tabia ya wizi haifundishwi mtu huzaliwa nayo, unataka kuniambia CCM wote ni wezi/ wapo km akina mzee warioba, mzee joseph butiku, akina mwakyusa na wengine wengi. wapo wezi wanapenda utajiri wa haraka na hao ndiyo wanaosumbua kwa sasa wakiondoka wote basi UKAWA ndiyo chaka la wezi badala ya CCM. kwa sababu qualified fisadi wote wanaondoka, km unavyojua wapigaji hawazidi 10 na wote wanamuunga mkono EL. Kundi kubwa linaongozwa na wahindi na waarabau na waswahilli km 2 tu.

Ili kauli yako iwe kweli ni lazima Kinana, Mkapa na Kikwete wahame ndio mafisadi watakuwa wamekwisha CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom