Unanswered cries
Member
- Dec 2, 2015
- 13
- 1
Kuna baadhi ya makada ndani ya chama cha mapinduzi waliozoea kukwepa kodi kwa mgongo wa chama waanza kulalamika kwenye vyombo vya habari wakimlaumu raisi kwa hatua anazochukua pia hofu yatanda kwa CCM kuitisha kikao cha ghafla wanahisi ni kwenda kumjadili raisi.
Je nyie wadau mnasemaje kwa hili?
Je nyie wadau mnasemaje kwa hili?