Mafasheni ya bei mbaya...

Atakuwa na asili ya Zaire huyu, wale jamaa hawaoni shida kuishi kwenye chumba lakini ana miliki pair tano za viatu vya Gucci
 
Hivi viatu, hata bei yake iwe ghali kivipi, lakini ukinipa mi hata bure sivai.
 
Na hili begi la kidemu sijui?
 
Hayo makorokoro mwilini ni mzigo tosha.
 
Begi kama hiyo nilimuona Swae Lee kaibeba red carpet ya MTV EMA Liverpool. Na vile kijamaa chembamba na vibuti vyake mi nikajua kijamaa kishoga. Kumbe hizi begi ni za wanaume? Mi siwezi kubeba hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…