Mafanikio yangu 2015~2016

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Nimefanikiwa kununua naombeni pongezi
 

Attachments

  • 1436356511227.jpg
    37.6 KB · Views: 629
Yani umepata boom umeenda kununua uffer ....by da way upeo wa akili yako ulipoishia...hongeraaa
 
............weeee.....si ungenunua hisa pale Dar es Salaam Stock Exchange .....ungekuwa umewekeza!!!
 
Yaani badala mpongeze mnaaza kutoa mabango na ushauri? mshana jr hawa banadugu zako vipi?
 
Last edited by a moderator:
mamamdogo za siku njoo utembelee getto langu ila bado kitanda godoro tayari
 
Last edited by a moderator:
mamamdogo za siku njoo utembelee getto langu ila bado kitanda godoro tayari

Hahahaa asee hayo maua sijui ndo taji muda mrefu kweli sijayaona naona umepamba flatscreen yako hapo duuuh hongera kijana
 
Last edited by a moderator:
Jamani picha yangu imefikaje huku?
 
Hongera ukishajua unachokitaka ukakipata kwa muda uliotarajia ndio mafanikio yenyewe. Kwa nguvu hiyo hiyo jipange unataka nini kingine na lini utafanikiwa tu. Hongera.
 
Nimefanikiwa kununua naombeni pongezi
hapo bado tu kununua gunia la mchele, nunua mafuta lita tano, jiko la mkaa, vyombo vya ndani, mikanda ya bongo movie au kinaijeria.....halafu nenda kwa mwanamke yeyote single wa kipwanipwani, akija kuangalia tu hapo akakuta kuan tv, mchele,mikanda taarab na ya movie, mkeka wa kutandika kulala mchana etc hautahitaji kutongoza, yeye ndo atakutongoza utatoa mahari na atakubali kuhamia hata siku hiyohiyo.

kazi yake itakua ni kuchambua mchele na kupika, huku akisikiliza taarab, kuangalia movie, kupakua kula akishiba analala kwenye mkeka huku akikusubiria wewe punda utoke kazini jioni akuhudumie kwa hudumio la kufa mtu, kesho yake tena. hatakuwa na mawazo yeyote ya maendeleo, hatakuwa na michepuko yeyote alimradi tu mchele ukiisha na mafuta ya kupikia nunua mengine weka ndani. huo ndio ugonjwa wao, utawapata wengi sana ndugu. hongera.
 
Hongera sana, hapo kinachofuata ni kuoa maisha ndo hayo.
 
Hahahaa asee hayo maua sijui ndo taji muda mrefu kweli sijayaona naona umepamba flatscreen yako hapo duuuh hongera kijana
daa hii style hatar sana ya kitambo hicho, unapiga na picha umekunja dole.
 
Hongera sana mkuu.

Na mimi nitanunua nikulipe.
 

Duh!!
Ndo hivyo kumbe!!
 
Hongera kaka, yaelekea una uzoefu nao hao watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…