Njia sahihi ni kukaa kimya kwenye utulivu bila kelele wala sauti zozote.
Sehemu ya utulivu....
Mwili
Nafsi
Roho
Akili
Mawazo
Fikra
Vyote kimya angalau nusu saa kwa siku.....ukiweza ongeza muda wa utulivu kwa kadiri utakavyo fanikiwa.....hapo ndio nguvu ya asili iliyomo ndani mwako itakapo fufuka....kukuponya na kukufakisha KATIKA YOTE.