MAFANIKIO YANAPITIA NJIA MBALIMBALI.

MAFANIKIO YANAPITIA NJIA MBALIMBALI.

TAKE NOTE

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
13
Reaction score
10
Kwanza nianze kwa kuwatakia sikukuu njema ndugu zetu wa islam,
mafanikio ni ndoto ya kila mtu aliye duniani,japo mafanikio yamekuwa ni magumu kwa wengi kulingana na tamaduni,mazoea,sera za nchi,pamoja na mambo mengine mengi tu,wapo walio fanikiwa duniani kwa bahati unaweza kusema ni bahati kwakuwa mhusika hakutegemea kufikia hatua hiyo lakini kwa bahati Mungu akamfunulia,wapo wanaosema riziki yangu bado haijafika ni weli lakini ujue pia hata maandiko matakatifu yanasema jisaidie kwanza ndipo usaidiwe pia tambua kabla ya kupiga hatua huwez fanikiwa.
Wapo mabilionea duniani wengi waliotoka katika hali duni kabisa wengi wetu tunamfahamu Jac ma mhasisi wa kampuni ya Alibaba,ambae ametoka katika hali duni kabisa ya maisha pamoja na hivyo juhudi zako ndio zitakufanikisha kusonga mbele.
Dunia ni sehemu ambayo inaila jambo unalolifikiri pale utakapo tumia vema aili yako hapo ndipo utaona tofauti.
Tumia muda mwingi kufikiri kesho yako utaifanyia nini kwakuwa tayari leo unayo ila kesho bado ni fumbo.
 

Attachments

Mkuu hongera sana kwa kuwa na mindset ya aina hii, ni hatua nayo coz matumaini yapo even things seem to be tough right now. Ingekuwa udaku nazani mpaka sasa thread yako ingekuwa na comments za kutosha tu! This proves that watu kama wewe ni wachache sana!
 
Wengi hupenda udaku kwakuwa hufurahisha kwa wakati huo lakini mambo ya msingi huhitaji akili kutulia ili ufikiri,wanadamu wengi walio fanikiwa ni wachache sana huweza kukaa na kutoa mbinu mbakimbali walizo tumia kufanikiwa, hii ni sababu hali ya matabaka ambayo imejijenga hawataki kuitoa
Walio wachache hupenda kuwasaidia wengine kwakuwa moyo huo wanayo na si wengi watu wa aina hii
 
Back
Top Bottom