Mafanikio ya mwanamke!

Madewa

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
465
168
Habari zenu wanaJF.
Nimejikuta nikitafakari kama kuna ukweli wowote kuwa,kila mwanamke aliyefanikiwa,kuna mkono wa mwanaume nyuma yake?
Hebu tupieni mitazamo yenu hapo...
 
1.Wewe Ni She?
2.Umeoa/kuolewa?
3.Umekuzwa Na Wazazi Wote Wawili?
Ukinijibu,Utanipa Njia Ya Kuanzia!
 
I thought kila mwanaume aliyefanikiwa,kuna mkono wa mwanamke nyuma yake...kumbe ni kinyumenyume.....!
 
1.Wewe Ni She?
2.Umeoa/kuolewa?
3.Umekuzwa Na Wazazi Wote Wawili?
Ukinijibu,Utanipa Njia Ya Kuanzia!

Una maswali mengi,kwani we ni polisi...???
We tupia fikra zako mkuu inatosha...
 
Yap kuna Mikono ya wanaume!! Pia kwa kila m/me aliyepigika basi ujue kuna mkono wa m/ke.
 
I thought kila mwanaume aliyefanikiwa,kuna mkono wa mwanamke nyuma yake...kumbe ni kinyumenyume.....!

Hebu jaribu ku-point wanawake kadhaa walofanikiwa,chunguza,wamefikiaje hayo mafanikio...
 
Mada haihitaji ujue jinsia ya aliyeuliza...inaeleweka,we tupia mtazamo wako...kama kuna ukweli ama laa...acha maswari mengi...

Haya Banah!
% kubwa Ina Ukweli,Kwani Weng Wanapiga Mizinga Mashutu Yao!
 
Mafanikio gani? Lazima uspecify vinginevyo mafanikio ni dhana tata. Tujalie kuwa lengo la mwanamke kwa mfano wa kizaramo ni kuolewa na as many men as possible. Je hili nalo lina msaada wa mwaume? Kama kwa mfano mama anapenda sana kuwatawala wanaume, je hili nalo likifanikiwa utasema kuna mwanaume nyuma yake? Think more.
 
A na B yote sahihi.
Haijalishi ni kiti cha thamani kiasi gani ambacho shetani amekupa hapa duniani, mwisho wake ni maafa.
 
Sio Kweli hata kidogo

Habari zenu wanaJF.
Nimejikuta nikitafakari kama kuna ukweli wowote kuwa,kila mwanamke aliyefanikiwa,kuna mkono wa mwanaume nyuma yake?
Hebu tupieni mitazamo yenu hapo...
 
Kama tutakuwa na mawazo hayo hatutoendelea na ndo maana %kubwa ya wanaume wanawaogopa wadada wanaoonekana wana maendeleo. Mi siamin usemi huo hata kidogo kwani hata wanawake wanafanyakazi maofisin, ni wajisiliamali na wana elimu na wanauwezo wa kufanya kazi kama wanaume wanavyofanya, sasa itakuwaje mseme eti kila mwanamke anayefanikiwa kuna mkono wa mwanaume.
 
Back
Top Bottom