Godfrey Mushi
Member
- Feb 26, 2013
- 75
- 41
Leo napenda kuweka wazi mafanikio ya chama changu cha cdm toka 2010 mpaka sasa;
*Katika chaguzi ndogo zilizofanyika hapa katikati CHADEMA imepata kuongeza Majimbo,kata,vijiji,vitongoji na Serikali za vijiji,,>CHADEMA IMEONGEZA UPANA WAKE NCHINI PAMOJA NA KUWEPO KWA DAFTARI LA HOVYO LA WAPIGA KURA,HUJUMA ZA TISS,POLISI,WAKURUGENZI,SERIKALI ZA MITAA NA UHUNI WA MAGREEN GUARD<
=Chadema imepata kunyakua Jimbo la Arumeru Mashariki moja lililokuwa mali ya maccm
=Cdm imenyakua kata 13 zilizokuwa imaya ya maccm(UCHAGUZI-AWAMU YA KWANZA KATA 6,AWAMU 2 KATA 5,AWAMU YA 3(JANA)KATA 2(NJOMBE NA SOMBETINI)
=Cdm imenyakua Vijiji 105 na vitongoji 211
=Chadema ijipatia wajumbe wa serikali za vijiji 320,,,
Hivyo vyote vilikuwa imaya ya ccm ktk matokeo ya uchaguzi wa 2010 lakini kwa sasa ni mali ya CDM,,,
-Cdm imepoteza kata 1 tu toka 2010
#IKUMBUKWE PIA CDM IMEPATA KUNYAKUA VITONGOJI 2 NA WAJUMBE WA KIJIJI 41 KTK JIMBO LA MWIGULU NCHEMBA,AMBAPO KTK JUMLA YA KURA CDM ILIPATA JUMLA YA KURA 776 NA CCM 1880,,,
MBELE TUNASONGA