mafanikio ugaibuni

kindume

Senior Member
Feb 25, 2017
110
54
Kwa wanaotaka kwenda SA na inch zingine za mbele nina njia yakuwaelekeza bila kuhatarisha maisha yenu kikubwa ni uwe na nauli yako 2
 
NA wewe hutaki kamisheni kidogo nivizuri kama umejitolea kusaidia watz bila kamisheni
 
ninaimani watu wote mnaelewa hali ya mambo ilivo kwa majirani zetu wa burundi nakongo, katika nchi zao hali si shwari na wamekua wakitafuta hifadhi hapa kwetu nchini na wanaendelea kuingia ichin kila kukicha, sasa nataka nikueleze njia rahisi yakupata kitambulisho cha ukimbizi kitakacho kufanya utambulike kimataifa
 
Kwa wanaotaka kwenda SA na inch zingine za mbele nina njia yakuwaelekeza bila kuhatarisha maisha yenu kikubwa ni uwe na nauli yako 2
Je unafahamo kwamba shirika IOM wakishirikiana na UNHCR wanampango wakuwasaidia hadi kuwafikisha USA raia wa DR CONGO familia elfu therasini waishio katika kambi ya nyarugusu ilio mkoani kigoma wilayani kasulu? Kama haujui habari ndo hio
 
Nahadi hivi sasa zaidi ya robo ya familia 30000 walisha sepa nawengine wako kwenye proces (RP) resetroment proces
 
Back
Top Bottom