Aloyce Mkwizu
Member
- Dec 19, 2016
- 70
- 53
Ni namba ya india. Nipo kwa ajili ya masomo.Huko Ujerumani unafanya nini?
Ni namba ya India sio ujerumani.Sio namba ya Ujerumani hiyo.
Au multiple ID?
Maneno kama hayo yasikilize kwa kutumia sikio la kushoto alafu yatolee kulia. Mmiliki wa KFC alipata alifanikiwa na miaka 60. Mifano ipo mingi cha muhimu ni kuwa na mipango na kusonga mbele. Kwanza kujenga nyumba sio mafanikio. wangapi wana nyumba lakini maisha yao ni ......Hapa jukwaani ni mwendo wa kudanganyana na kukatishana tamaa
wengine watakwambia ukitimiza miaka 40 hujajenga ndio basi tena duh!
ni kwa ajili ya kubadilishana mawazo mawili matatu tu.Asante kwa kutukumbusha
Tushajua upo India meeen so ngoja tuje kukushobokea whatsapp+918448628500
Pitia kitabu kinachoitwa FIND YOUR WHY mwandishi ni Simon Sinek. Kitachochea safari yako.Nitajitahid maana nina ndoto za kifanikiwa
Hilo halikuwa lengo la kuweka namba.π‘π‘π±π±Tushajua upo India meeen so ngoja tuje kukushobokea whatsapp
Lengo lako ni lipi?Hilo halikuwa lengo la kuweka namba.π‘π‘π±π±
Kubadilishana mawazo mawili matatu privately.Lengo lako ni lipi?