mafanikio awamu 6-UG is now richer than us?

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,217
Reaction score
14,811
haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa hizi nchi zinazoitwa za afrika ya mashariki kwamba waganda wakawa juu ya tanzagiza kiuchumi, siku zote ilikuwa kenya inaongoza halafu tanzagiza and then ug, sasa leo hii per capital income ya ug ni kubwa klk tanzagiza, usisahahu kwamba ug ni landlocked yaani haina bahari na inategemea bandari ya mombasa kusafirishia mizigo yake lkn bado wameweza kutupita.

halafu kutwa nzima mmekaa hapa kusifu tanzagiza wakati kiuhalisia tunarudi nyuma how else would you explain that kwamba ug leo hii ni tajiri klk watanzagiza?

income per capital (pato la kila mwananchi):

tanzagiza - 1,280 USD
uganda - 1,338 USD
kenya - 2,468
chanzo: List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia

this regime's got to go, man ...
 
Wikipedia uwa Kuna uongo uongo mwingi Japokua siwezi kupinga
 
haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa hizi nchi zinazoitwa za afrika ya mashariki kwamba waganda wakawa juu ya tanzagiza kiuchumi, siku zote ilikuwa kenya inaongoza halafu tanzagiza and then ug, sasa leo hii per capital income ya ug ni kubwa klk tanzagiza, usisahahu kwamba ug ni landlocked yaani haina bahari na inategemea bandari ya mombasa kusafirishia mizigo yake lkn bado wameweza kutupita.

halafu kutwa nzima mmekaa hapa kusifu tanzagiza wakati kiuhalisia tunarudi nyuma vinginevyo how else would you explain that kwamba ug leo hii ni tajiri klk watanzagiza?

income per capital (pato la kila mwananchi):

tanzagiza - 1,280 USD
uganda - 1,338 USD
kenya - 2,468
chanzo: List of African countries by GDP (nominal) - Wikipedia

this regime's got to go, man ...
Na nyie gundueni Mafuta na Dhahabu ya kuzidi na mpunguze kuzaan hovyo mtakuwa Juu tuu.

Ulidhani Nchi zingine zitasinzia mazima?
 
Tanzagiza ni mkundu wa mamako we mbwa koko
 
Kila siku kusifia ujinga tu kwanini waganda wasipige hatua huku tanzagiza wamefocus kusifu na kuabuda deaf frog
 
Na nyie gundueni Mafuta na Dhahabu ya kuzidi na mpunguze kuzaan hovyo mtakuwa Juu tuu.

Ulidhani Nchi zingine zitasinzia mazima?

lkn uganda inazaliana zaidi klk tanzagiza, ug wanaisihi watu 255 per square km vs tanzagiza watu 200/square km hivyo uganda ina watu wengi zaidi per square meter klk tanzagiza ukichukulia ukubwa wa nchi ...
 
Na nyie gundueni Mafuta na Dhahabu ya kuzidi na mpunguze kuzaan hovyo mtakuwa Juu tuu.

Ulidhani Nchi zingine zitasinzia mazima?
  • Gesi
  • Almas
  • Tanzanite
  • Dhahabu
  • Mbuga
  • Makaa ya Mawe
  • Maziwa
  • Mito
  • Uranium
  • Chuma
  • Kilimo
  • Uvuvi
Tunakwama kwenye "10%" zinazoliwa na Wagagagigikoko..
 
Kijana mjinga wa UVCCM lete zile data zako za kutafutia mlo wa kila siku. Ukweli haufichiki hili taifa ni masikini kupindukia pamoja na utajiri wa rasilimali tulizonazo. Wananufaika wachache (kikundi cha wahuni).
 
In the next 5 years, the future aint that promising...

Mungu atusaidie!
Ila baada ya kuubomoa uchumi na kuipigisha nchi magoti, 2030 CCM itatoka kama ilivyotabiriwa,its just the matter of time!
 
  • Gesi
  • Almas
  • Tanzanite
  • Dhahabu
  • Mbuga
  • Makaa ya Mawe
  • Maziwa
  • Mito
  • Uranium
  • Chuma
  • Kilimo
  • Uvuvi
Tunakwama kwenye "10%" zinazoliwa na Wagagagigikoko..

hata hiyo 10% kama ingetumika kwa manufaa ya wananchi bado tofauti ingeonekana, lkn wanaiiba kuwekak kwenye mifuko ya watu (wachache) binafsi ...
 
Back
Top Bottom