Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.
Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.
Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!
kwanin usitamani awe basha wako.
Ni kweli utendaji wake mzuri sana kama alivyofanya kwa vitendo rechmond.
Vip na wew ashakutenda(chapanao) nin??
Licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya Tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.
Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia Mwandisi wa maji mkoa wa Lindi Bw.Monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.
Wakazi wa kata ile walipata maji.Embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!
Mkuu naungana nawe kuhusu utendaji wa lowasa.Kuna wakat alikuja brbr ya shekilango enz hzo mkuu wa mkoa ni babake january.Ile brbr haikuwa mbovu ila ilikuwa na mahandaki(imeharibka kupta kias) akamuliza mzee makamba mbna hali hii?Mara akawageukia wakandaras husika na kuwataka waanze ujenz mara 1 kwa kuwa fedha zilishatolewa ila cjui walikuwa wanataka kuzpga,akawakurupua brbr ikakarabtiwa na had leo ipo mzuka,pili nakumbuka kuna mkuu wa wilaya fulan (sory nimeisahau) alikuwa anakwamisha zoez la ugawaji wa chakula kwa ajil ya kupunguza balaa la njaa.Alim fire na chakula kikagawiwa kwa wahuska.Jamaa ni mchapa kaz bas tu kuwajibka kwake ndo kunamfanya aonekane mbaya.

Kuna thread ya kigezo cha Urais kwa mwaka 2015. Kasaidie kutupia hoja zako.
licha ya jina lake kuchafuka kila kona ya tanzania lakini huyu nadhani ni kiongozi mtekelezaji na si mzungumzaji.
Nakumbuka mwaka 2001,alimkaripia mwandisi wa maji mkoa wa lindi bw.monjesa,wakati huo alikua waziri wa maji na mifugo na kumpa masaa 24 na kuahidi kumuadhibu kama asingetekeleza.
Wakazi wa kata ile walipata maji.embu mwenye kumbukumbu nzuri za utekelezaji wake atumwagie!
Hakuna mbaya anaekosa kupendwa au mzuri anaeokosa kuchukiwa!
Kumbuka tu tukio la juzi kuhusu Gaddaf mengi mazuri ameyafanya Libya lakini licha ya hayo bado wako waliokua wanamchukia na kupewa jina kua ni dikteta.
wacha utapeli we ivuga, teteSI GANI ZINAMUENGUA RA?
Sasa mbona half ya cabinet ya mawaziri ndo wanawania hiyo nafasi.kama ni kweli 2015 CCM will be in pieces.