pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Soma hiyo taarifa hapo juu utaelewa.What's so special here with that company which happens to be largest in the World?
Kuna nini cha special kwenye hiyo taarifa? Yani unajenga bomba la maji unamaliza. Unafungua koki then una anza kujichocha kwa watu kuwa unaona bomba linatoa maji!? Sasa ulitaka litoe mchanga?Soma hiyo taarifa hapo juu utaelewa.
Sijakuelewa, Maersk sio kampuni la kikenya, taarifa haijaandikwa na wakenya sasa ukisema Kenya inajipiga kifua ndio unamaanishaje? Acha uvivu, soma taarifa kwanza, sio comments. Alafu kama Maersk, shipping line kubwa kabisa duniani ni failed, basi hamna shipping line yoyote nyingine duniani.Kuna nini cha special kwenye hiyo taarifa? Yani unajenga bomba la maji unamaliza. Unafungua koki then una anza kujichocha kwa watu kuwa unaona bomba linatoa maji!? Sasa ulitaka litoe mchanga? Maersk is a failed shipping line just like Kenya a failed state. Nini special kwenye hii taarifa?
Ndio maana namuuliza kuna nini kipya hapo anabaki kubweka tu. Hata maersk wakiwaambia wanaifanya lamu kuwa hub ya dunia ni sawa tu. The issue watakuwa na mzigo wa kutosha kufikisha lamu? Hana soko wala infrastructure za kutosha. Lapsset ndio imekufa maana hili dili halina mkono wa mchina.Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!
Lamu-Garsen Road eight months behind schedule
Security challenges by al Shabaab push deadline from December to August next yearwww.the-star.co.ke
👏 👏 👏Ndio maana namuuliza kuna nini kipya hapo anabaki kubweka tu. Hata maersk wakiwaambia wanaifanya lamu kuwa hub ya dunia ni sawa tu. The issue watakuwa na mzigo wa kutosha kufikisha lamu? Hana soko wala infrastructure za kutosha. Lapsset ndio imekufa maana hili dili halina mkono wa mchina.
China haitaweza kutengeneza belt road ili mizigo ipite kwenye bandari ya Denmark wakati yeye ana shipping line zake CMA CGM na COSCO shipping line.
Wewe SI ulifungua Uzi wa battle kati ya Bagamoyo Port na Lamu Port, ukapiga mdomo kwa picha za uzinduzi ukisema Lamu haitojengwa? Sasa mbona unabadioisha gear wakati yenu imefeli na yetu kuanza kazi? 😂😂😂😂 Hapa kazi tu...kwa Magufuli hapa mdomo tu 😭😭😭 bure kabisa huko kinyesilandMaersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!
Lamu-Garsen Road eight months behind schedule
Security challenges by al Shabaab push deadline from December to August next yearwww.the-star.co.ke
We jamaa bana, unaelewa kinachojadiliwa hapa? Maanake naona unasema kwamba Maersk huwa wanatumia na kupeleka mizigo kwenye bandari za Denmark pekee yake kwasababu ni kampuni kutoka Denmark. Are you serious? Bandari ya Lamu sio mradi wa mchina kama Silk Road yao, ila baadaye itakuwa moja ya route ya mradi wao kwa ushirikiano na Kenya. Bandari ya Lamu imejengwa kwa hela za Kenya pesa zetu sisi wenyewe, na sio kama mnavopenda kuhadaa watu kwenye miradi yenu.Ndio maana namuuliza kuna nini kipya hapo anabaki kubweka tu. Hata maersk wakiwaambia wanaifanya lamu kuwa hub ya dunia ni sawa tu. The issue watakuwa na mzigo wa kutosha kufikisha lamu? Hana soko wala infrastructure za kutosha. Lapsset ndio imekufa maana hili dili halina mkono wa mchina.
China haitaweza kutengeneza belt road ili mizigo ipite kwenye bandari ya Denmark wakati yeye ana shipping line zake CMA CGM na COSCO shipping line.
Tueleweshane taratibu mkuu, hao maersk wanafanya nini hapo lamu?We jamaa bana, unaelewa kinachojadiliwa hapa? Maanake naona unasema kwamba Maersk huwa wanatumia na kupeleka mizigo kwenye bandari za Denmark pekee yake kwasababu ni kampuni kutoka Denmark. Are you serious? Bandari ya Lamu sio mradi wa mchina kama Silk Road yao, ila baadaye itakuwa moja ya route ya mradi wao kwa ushirikiano na Kenya. Bandari ya Lamu imejengwa kwa hela za Kenya pesa zetu sisi wenyewe, na sio kama mnavopenda kuhadaa watu kwenye miradi yenu.
Ndio maana nikakuambia usome taarifa kwanza. Hamna waliposema kwamba Maersk tayari wapo Lamu, au kwamba makao yao rasmi yatakuwa Lamu. Maersk wamesema kwamba meli zao na container wanazosafirisha zitakuwa za kwanza kutua Lamu.Tueleweshane taratibu mkuu, hao maersk wanafanya nini hapo lamu?