Maersk, World's Largest Container Shipping and Supply Line Eyes Lamu Port

Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!

Ulivotangulia kwa kusema kwamba Maersk hawawezi wakafika Lamu wakati tayari wame'commit' rasmi inanieleza yote ambayo nataka kuyajua. Ugua pole mzee, ongeza ulcers za ziada na ikikupendaza pia pandisha BP.
 
Ndio maana nikakuambia usome taarifa kwanza. Hamna waliposema kwamba Maersk tayari wapo Lamu, au kwamba makao yao rasmi yatakuwa Lamu. Maersk wamesema kwamba meli zao na container wanazosafirisha zitakuwa za kwanza kutua Lamu.
Hahah asee. Kumbe ndio mnachoshangilia hapa! Maersk kupita lamu? But sio makosa yenye Nyinyi bado sana ukanda wa kwenye maji na bahari.

Huku anapita Dar, Tanga, mtwara na Zanzibar na wala haturingi. Ndio maana nimekuuliza kuna jipya gani maersk kushusha makasha hapo lamu?
 
Dah! Hadi sasa hivi bado hujajua kwamba bandari ya Lamu haijamaliza kujengwa? Biashara kwenye bandari ya Lamu bado haijazinduliwa rasmi, ni bandari mpya. Maersk kama shipping line kubwa kabisa duniani kuonesha confidence kwenye mradi kama huo sio jambo la kawaida. Mazingira mazuri ya kibiashara na confidence ya wawekezaji na wanabiashara ni msamiati kwa Tz ila sio kwa Kenya. Alafu Maersk wanaitumia sana bandari ya Mombasa na nakuhakikishia kwamba mizigo ambayo wanashusha Mombasa tu ni mingi zaidi ya bandari zote za Tz kwa pamoja. Tafakari hayo.
 
Jipya Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Habari ndio hiyo, swali lingi

Habari Ni kuwa Maersk sealand wametangaza kuwa watafanya biashara na Lamu port. Swali lingine haswa kuhusiana na bandari yetu mpya?
 
Lamu is a white elephant, Ethiopia na SS ndio wamejengewa hii bandari lakini mpaka saivi hakuna mwenye time nayo, wote wapo Djibouti, railways na barabara zao wamezielekeza Djibouti sasa sijui hii Bandari kajengewa nani? At the same time Mombasa has been used under its full utilisation capacity for decades

Kukurupuka vepee?
 
Still tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.

Na hiyo maersk sio kama zamani ndio maana inakimbilia port kama lamu. Na sio guarantee kwamba watatumia hiyo port kwa operations zao, hiyo itadepend na freight volume ya lamu port. Ndio kwanza mnaanza kufunga cranes maana yake hata bado hamuwezi bulk handling.
 
Weka evidence ya unayosema buda. Otherwise hii yako ni kukurupuka tu.
 
Still tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.

Na hiyo maersk sio kama zamani ndio maana inakimbilia port kama lamu. Na sio guarantee kwamba watatumia hiyo port kwa operations zao, hiyo itadepend na freight volume ya lamu port. Ndio kwanza mnaanza kufunga cranes maana yake hata bado hamuwezi bulk handling.
Mmetuzidi vipi bandarini? Mombasa is the largest port in east africa and the 5th largest in Africa. The tonnage of cargo in Mombasa alone is more than what all your ports handle in a whole year. Be objective in your arguments
 
Maersk is the largest shipping company in the world. To be the first ones to dock at the three berths in Lamu is a show of confidence to investors in the port of Lamu. It's not about your petty comparisons which are neither here nor there. carter
 
Still tunawaongoza upande wa bandari.. Ndio kwanza hata operations hapo bado mnakuja kujitapa hapa wakati tuko na nne zinaoperate? Hii habari mngesimuliana vyumbani kwenyu tu.

Na hiyo maersk sio kama zamani ndio maana inakimbilia port kama lamu. Na sio guarantee kwamba watatumia hiyo port kwa operations zao, hiyo itadepend na freight volume ya lamu port. Ndio kwanza mnaanza kufunga cranes maana yake hata bado hamuwezi bulk handling.
Bandari zenu zote zikijumuishwa hazifiki hata busy ya Mombasa...Hilo unalijua?
 
Maersk is the largest shipping company in the world. To be the first ones to dock at the three berths in Lamu is a show of confidence to investors in the port of Lamu. It's not about your petty comparisons which are neither here nor there. carter
Was then largest shipping line in the world. See the difference?
 
Dah! Hadi sasa hivi bado hujajua kwamba bandari ya Lamu haijamaliza kujengwa? Biashara kwenye bandari ya Lamu bado haijazinduliwa rasmi, ni bandari mpya. Maersk kama shipping line kubwa kabisa duniani kuonesha confidence kwenye mradi kama huo sio jambo la kawaida. Mazingira mazuri ya kibiashara na confidence ya wawekezaji na wanabiashara ni msamiati kwa Tz ila sio kwa Kenya. Alafu Maersk wanaitumia sana bandari ya Mombasa na nakuhakikishia kwamba mizigo ambayo wanashusha Mombasa tu ni mingi zaidi ya bandari zote za Tz kwa pamoja. Tafakari hayo.
Maersk bongo aifiki mtwara port tu
Screenshot_20191010-223712.jpeg
Screenshot_20191010-223841.jpeg
 
Let me educate the pessimists. Lamu main business is geared towards transshipment logistics. Hii ni kusema kwamba meli kubwa duniani ambazo haziwezi tua kwenye ports zingine pande hii ya Africa zitaenda lamu nad their cargo divided into smaller ships. Currently Djibouti port is the leader in this, so Lamu being in a much better position to serve a large part of Africa is doing this even if there are no roads going into the hinterland. Its why it has the longest port in east Africa. Massive ships cant go to every port here dropping containers because its expensive. It goes to lamu removes all containers destined for this side of Africa. Then newly launched Kenya shipping company distributes to egypt mpaka Durban. Lamu hoyeee!
 
Back
Top Bottom