Maersk, World's Largest Container Shipping and Supply Line Eyes Lamu Port

pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,923
13,344
Naaam, habari ndio hiyo! Connection ya bandari 300, kote duniani, kwa bandari ya Lamu kutoka kwa kampuni ya Maersk. Hata kabla shughuli hazijazinduliwa rasmi kwenye bandari ya Lamu, tayari wanabiashara wa kutajika wameanza kuchangamkia fursa. Maersk ndio kampuni kubwa kabisa duniani kwenye shughuli za kusafirisha container na pia kwa wingi wa meli za kusafirisha, wanazomiliki wao. Maersk wananuia kuwa wa kwanza kushusha container bandarini Lamu na meli zao kuwa kwenye kumbukumbu za historia kama meli za kwanza kufika kwenye bandari hiyo mpya. Hizi ni habari njema kwa bandari ya Lamu na mradi wote wa LAPSSET kwa ujumla. Mazuri yanazidi kuiandama Kenya, sio uchawi wadau, ni bidii na kujituma. Uwanja ni wenu waheshimiwa wapendwa wa kamati ya roho mbaya. Mwageni povu kabisa, feel at home!
 
Kwa walio wavivu na wasio na bundles za kufungua link, habari ndio hio

Denmark’s – Maersk, which happens to be the world’s largest container shipping firm will soon call at Kenya’s recently developed Lamu Port.

The Kenyan government is developing the first three berths at the planned 32-berth port which is part of the Sh2.5 trillion Lamu-South Sudan-Ethiopia Transport Corridor (Lapsset). The mega project was launched by Kenya in 2012.

Edward Kamau, general manager corporate services at Kenya Ports Authority (KPA) told the media, “Maersk has committed to bring a ship to call at Lamu Port. We are preparing to move equipment to support operations at the first berth which is ready.”

He added, “These equipment are just but a few to start us off. By the time all the three berths are complete; we shall have full operations at Lamu.”

The equipment that are being moved to be installed at the berth includes rubber-tired gantry cranes (RTGs), terminal tractors, forklifts,reach stackers, pilot boats, tag boats and mooring equipment for handling of vessels.

Maersk, which is the largest container ship and supply vessel operator in the world since 1996, will connect the Lamu Port to 300 global ports.

In the last couple of months, the KPA has heavily marketed the newly developed Lamu port. The official launch of the first berth in Lamu Port is set to take place this month. As a part of its marketing scheme, KPA is inviting shipping lines, transporters and port stakeholders for a site visit.

The authorities have also offered promotional tariffs to logistic companies which includes a 30 days free storage period for transshipment and transit cargo, 14 days free storage period for domestic cargo and a 40 percent discount for cargo-based charges as per KPA’s tariff.

According to reports, the development of the Lamu Port has been funded completely through the tax payer’s money.
 
YcKECzirCXez8ZXbgxKoSPvqwVMH7yYLJ47qFzpFDA0.jpg
Ikumbukwe kwamba umuhimu wa bandari ya Lamu sio kwa ukanda huu au bara hili pekee yake. Kuna huo mradi hapo juu wa China Silk Road au ukipenda OBOR(One Belt One Road). Mradi ambao utaunganisha nchi 63 na watu 4.5 million duniani, ambao Rais Xi Jingping aliwataja kama 'a community of one destiny'. Alafu hayakuanza hivi majuzi, hii route ilibuniwa enzi za 'exploration', karne za 16/17 na safari za explorer wa kichina Zheng He kwenye miji ya Mombasa na Malindi.
 
What's so special here with that company which happens to be largest in the World?
 
Soma hiyo taarifa hapo juu utaelewa.
Kuna nini cha special kwenye hiyo taarifa? Yani unajenga bomba la maji unamaliza. Unafungua koki then una anza kujichocha kwa watu kuwa unaona bomba linatoa maji!? Sasa ulitaka litoe mchanga?

Maersk is a failed shipping line just like Kenya a failed state. Nini special kwenye hii taarifa?
 
Kuna nini cha special kwenye hiyo taarifa? Yani unajenga bomba la maji unamaliza. Unafungua koki then una anza kujichocha kwa watu kuwa unaona bomba linatoa maji!? Sasa ulitaka litoe mchanga? Maersk is a failed shipping line just like Kenya a failed state. Nini special kwenye hii taarifa?
Sijakuelewa, Maersk sio kampuni la kikenya, taarifa haijaandikwa na wakenya sasa ukisema Kenya inajipiga kifua ndio unamaanishaje? Acha uvivu, soma taarifa kwanza, sio comments. Alafu kama Maersk, shipping line kubwa kabisa duniani ni failed, basi hamna shipping line yoyote nyingine duniani.
 
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!

Ndio maana namuuliza kuna nini kipya hapo anabaki kubweka tu. Hata maersk wakiwaambia wanaifanya lamu kuwa hub ya dunia ni sawa tu. The issue watakuwa na mzigo wa kutosha kufikisha lamu? Hana soko wala infrastructure za kutosha. Lapsset ndio imekufa maana hili dili halina mkono wa mchina.

China haitaweza kutengeneza belt road ili mizigo ipite kwenye bandari ya Denmark wakati yeye ana shipping line zake CMA CGM na COSCO shipping line.
 
👏 👏 👏
 
Maersk ije Lamu kufuata nn? Mzigo wa Ethiopia hamuwezi kuupata mna ugomvi nao kuhusu Somaliland! Kingine Lamu port haiko connected na South Sudan ama Ethiopia ama Uganda si kwa Barabara ama reli!

Wewe SI ulifungua Uzi wa battle kati ya Bagamoyo Port na Lamu Port, ukapiga mdomo kwa picha za uzinduzi ukisema Lamu haitojengwa? Sasa mbona unabadioisha gear wakati yenu imefeli na yetu kuanza kazi? 😂😂😂😂 Hapa kazi tu...kwa Magufuli hapa mdomo tu 😭😭😭 bure kabisa huko kinyesiland
 
Ndio maana namuuliza kuna nini kipya hapo anabaki kubweka tu. Hata maersk wakiwaambia wanaifanya lamu kuwa hub ya dunia ni sawa tu. The issue watakuwa na mzigo wa kutosha kufikisha lamu? Hana soko wala infrastructure za kutosha. Lapsset ndio imekufa maana hili dili halina mkono wa mchina.
China haitaweza kutengeneza belt road ili mizigo ipite kwenye bandari ya Denmark wakati yeye ana shipping line zake CMA CGM na COSCO shipping line.
We jamaa bana, unaelewa kinachojadiliwa hapa? Maanake naona unasema kwamba Maersk huwa wanatumia na kupeleka mizigo kwenye bandari za Denmark pekee yake kwasababu ni kampuni kutoka Denmark. Are you serious? Bandari ya Lamu sio mradi wa mchina kama Silk Road yao, ila baadaye itakuwa moja ya route ya mradi wao kwa ushirikiano na Kenya. Bandari ya Lamu imejengwa kwa hela za Kenya pesa zetu sisi wenyewe, na sio kama mnavopenda kuhadaa watu kwenye miradi yenu.
 
Tueleweshane taratibu mkuu, hao maersk wanafanya nini hapo lamu?
 
Tueleweshane taratibu mkuu, hao maersk wanafanya nini hapo lamu?
Ndio maana nikakuambia usome taarifa kwanza. Hamna waliposema kwamba Maersk tayari wapo Lamu, au kwamba makao yao rasmi yatakuwa Lamu. Maersk wamesema kwamba meli zao na container wanazosafirisha zitakuwa za kwanza kutua Lamu.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom