Ingia hapo New Africa posta agiza grilled Pork wakikujibu hawana uje utuambieMbona sijaona sehemu wanapouza kitimoto kati ya Posta na kariakoo
Yeah, Makaburi ya Kisutu karibu na ofisi ya Mtendaji wa Kata (nadhani Kata ya Upanga) kuna mdudu anakaangwa pale, tena moshi wake unafika hadi kwenye makaburi ya waisilamuMakaburi ya kisutu karibia na zanaki maeneo yale kulikuwa kunauzwa sijui km bado ipo wazi.
Ilishafungwanenda posta ya zamani kwenye kanisa la Azania front ndani kuna hotel wanauza
MBOGA SAFI SANA
Huu ni uchokozi sio na kifani acha hiyoYeah, Makaburi ya Kisutu karibu na ofisi ya Mtendaji wa Kata (nadhani Kata ya Upanga) kuna mdudu anakaangwa pale, tena moshi wake unafika hadi kwenye makaburi ya waisilamu
HahahaYeah, Makaburi ya Kisutu karibu na ofisi ya Mtendaji wa Kata (nadhani Kata ya Upanga) kuna mdudu anakaangwa pale, tena moshi wake unafika hadi kwenye makaburi ya waisilamu
si hapa kando ya Aly khan,kitimoto bado kipo pale mkuuOlympio Street just before Mzumbe University kuna haka ka-joint kanaitwa TGF, sina uhakika kama bado kanatengeneza yule mnyama pendwa
Umemaliza mjomba. Huyu kazoea sehem chafu-chafuIngia hapo New Africa posta agiza grilled Pork wakikujibu hawana uje utuambie
Hakuna mnyama haram aliyeumbwa na mungu chini ya jua,acha kukufuruMwatutamanisha jamani,wengine kharamu huyu mnyama!!))
Ndo inakuaga tamu sanaUmemaliza mjomba. Huyu kazoea sehem chafu-chafu