Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,826
Wakuu utakuta sehemu nyingi serikalini kuna magap, yaani hakuna watu wanaofanya kazi hapo, kuna watu wanafanya kazi mbili mbili, au sehemu nyingine hakuna watu kabisa lakini serikali haiajiri, hivi tatizo huwa nini au serikali haina uwezo wa kuwalipa? Pia ni mchakato gani huwa unafanyika mpaka serikali kutangaza ajira?