Maeneo haya ya Kibaha yanauzwa

Maeneo haya ya Kibaha yanauzwa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
1. Hekta moja kwa ajili ya ujenzi wa Shule.Iko Misugusugu.Bei ni milioni 60

2. Nyumba ya vyumba vitatu na eneo la robo ekari.Ipo Kongowe.Bei ni milioni 45

3. Nyumba yenye vyumba vitano na frem 4 za biashara ikiwa barabarani kabisa. Iko Visiga kwa Kipofu. Bei ni milioni 87

4. Shamba ekari 30. Liko Zegereni-Visiga. Bei ni milioni 700

Mawasiliano ni : 0717 674630-Hawa Salum Muhunzi

Wote mnakaribishwa!
 
Bei kubwa zote hizo kijijini hko!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom