Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,936 Reaction score 168,756 Oct 6, 2018 #21 KipajiTz said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe imekugusa penyewe [emoji119] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Click to expand... Msumari wa mfupa teh
KipajiTz said: [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe imekugusa penyewe [emoji119] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Click to expand... Msumari wa mfupa teh
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,267 Reaction score 129,618 Oct 6, 2018 #22 Sina muda wa kumlinda na kumchunga mtu mzima, I'll never do that. Mtu akiamua kucheat hata umuache ndani umpe kila hitaji lake, still atacheat tu. Kuna watu wana addictions zao, wanahitaji counselling ya nguvu kuwabadilisha.
Sina muda wa kumlinda na kumchunga mtu mzima, I'll never do that. Mtu akiamua kucheat hata umuache ndani umpe kila hitaji lake, still atacheat tu. Kuna watu wana addictions zao, wanahitaji counselling ya nguvu kuwabadilisha.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,763 Oct 6, 2018 #23 Heri nijifunze kuwa na upendo maana upendo hushinda yote!
J J.wawatu JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 428 Reaction score 814 Jul 14, 2019 #24 Hakuna upumbavu kama kumlinda au kufikiria kuwa mke atakusaliti angali mmekutana ukubwani, kikubwa ni kueshimiana tu, wewe ukikuta imeshaoshwa wewe kula haina makombo!
Hakuna upumbavu kama kumlinda au kufikiria kuwa mke atakusaliti angali mmekutana ukubwani, kikubwa ni kueshimiana tu, wewe ukikuta imeshaoshwa wewe kula haina makombo!
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 13,110 Reaction score 30,539 Jul 14, 2019 #25 Kuna mbinu/njia moja hapo umeitaja mkuu. Ni mbinu/njia yangu pendwa sana kunako na haijawahi kuniangusha kwa kweli.
Kuna mbinu/njia moja hapo umeitaja mkuu. Ni mbinu/njia yangu pendwa sana kunako na haijawahi kuniangusha kwa kweli.