Andre-Pierre
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 328
- 1,209
Utaishia kuzungukia mahoteli tu hawana beach na vitu kama mbudya au machimbo ya kigamboni kule au waterpark mbezi.Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni muongozo wadau.
Mkuu hapo kariobangi kuna issue gani mpaka afikepoFikia Kariobangi, uwe unashinda maeneo ya Mathare, Mukuru kwa njenga usisahau kuja Kibra (Kibera) uone flying toilets ni
Bure ni gharamaUsikose kufika two rivers ujionee mambo. Ukikosa pa kufikia njoo karen utalala bure.
Wakora ni wengi?Nairobi mji mgumu sana kuzunguka kuna wale wapigadebe wa matatu wanaongea lugha isiyoeleweka nadhani ni kikikuyu
Nilikwishaendapo mara moja kulangua simu maeneo ya Luthuri
Wakola sikuwaona ila mji barabara zake za mitaa hazijanyooka kabisa kwahiyo ukitembea kwa miguu tegemea kupotea poteaWakora ni wengi?
Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni muongozo wadau.
Nenda pale kasarani urgent ,utakuta kila kitu pale kipo! Mpaka bata mzinga wapo nipesa yako tu mkuu!Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni
Kasarani Kuna bar inaitwa Dragoni Grill iko poaNenda pale kasarani urgent ,utakuta kila kitu pale kipo! Mpaka bata mzinga wapo nipesa yako tu mkuu!