Maeneo gani mazuri kutembea ukiwa Nairobi

Andre-Pierre

JF-Expert Member
Nov 4, 2019
304
1,130
Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni muongozo wadau.
 
Utaishia kuzungukia mahoteli tu hawana beach na vitu kama mbudya au machimbo ya kigamboni kule au waterpark mbezi.

Hoteli zao kali sana joto hamna kama huku hali ya hewa safi. Downtown Nairobi ni kubwa na kali kuliko Downtown Dsm tuambiane ukweli.

Labda usiku uzame florida
 
Hali ya hewa Nairobi ni nzuri tu, sehemu ninayoipenda zaidi ni West land, huko ni ushuani
Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni muongozo wadau.
 
Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni
Nenda pale kasarani urgent ,utakuta kila kitu pale kipo! Mpaka bata mzinga wapo nipesa yako tu mkuu!
 
Hujaona sehemu za kwenda kula bata mkuu hadi uende nairobi!!??
Anyway jaribu kwenda dandora,soweto na mukuru kayaba uta-enjoy na kujifunza mengi
 
Shopping Malls
Kuna options mingi for shopping. Consider the following places:
  1. Two Rivers Mall
  2. Garden City
  3. The Hub
  4. Westgate Mall
  5. Lavington Mall

Two Rivers Mall
Attractions: Largest ferris wheel in Africa, largest mall in East and Central Africa

Master_Image_City_Clouds-1.jpg

68494312_2878306758911252_6685848926802673664_o.jpg

Garden City Mall

CyV8S5PXAAA3IC-.jpg

vjlbq.jpg
The Hub Karen

D84q5VgXkAA2xEp.jpg

XLzvr.jpg

cE7xZ.jpg
 
Bars and Restaurants and Hangouts

Nairobi is the bar and restaurant capital of the region. You will be spoilt for choice. I recommend the following restaurants but we keep a directory of hangouts and social events at the following site :

Recommendations:

1:The Alchemist

PtAZZQB.jpg

Boa3or6.jpg

2: K1 The Flea Market

sknsubv.jpg

n1vqp6P.jpg

C7yLwUh.jpg

3: Nyama Mama

Z4OZxrP.jpg

iOm08AX.jpg

8nx013e.jpg

9gxULv3.jpg

O93QiSN.jpg

4: Kiza

745iaoA.jpg

5z4JmQQ.jpg

A2zJe3c.jpg

M1S1RAW.jpg

uvAMMQM.jpg

5: Caramel Restaurant and Lounge

20139910076_66c7fcd015_b.jpg

29041656585_a84e694e4a_b.jpg

19545175573_6cf4d5a865_b.jpg

28420951704_a0f660689a_b.jpg

29008549286_e3b606786e_b.jpg
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom