Andre-Pierre
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 324
- 1,188
Nataka December hii nivuke boda niende kwa majirani zetu Kenya. Nataka nifike Nairobi kwaajili ya mapumziko ya Xmass na mwaka mpya. Ni maeneo gani mazuri kutembelea viunga vya Nairobi. Vipi hali ya hewa ya huki ipoje? Ni joto kama hapa Dar? Nitapitia boda ya Namanga, nipeni muongozo wadau.