Maeneo ambayo huamsha isia kwenye mwili wa mwanaume

Wanaume wakinyonywa chuchu wanapagawa haswaa,,
Unaigiziwa tu dada yangu hisia za mwanaume wala hazitafutwi kwa mbwbwe hivyo vile tukikuona ukiwa kwenye ule mwili uliombwa na Mungu afu tayari ushakua msosi wa baharia basi inatosha sana nani furaja isiyo na kipimo kwenye ubongo wa mwanaume
 
Mi ni mwanaume tena wa shuka, mi mwanamke Akivaa tu khanga ndo G spot yangu hiyo! Mengine hayana maana kwangu
 
Uko kwingine utahangaika sana labda kama anafanyiwa mwanamke sijui masikio e.t.c

Hisia za mwanaume zipo kama ulivoelezea hiyo namba 5!! ukicheza na namba 4 (denda) na hiyo sehemu namba 5 (uume) umemaliza kila kitu huna haja na hayo mengine!!

Demu wangu mmoja ndo alinikamatia hapo tu,mikono yake sijui ina nini aseeh! Anaweza chezea kichwa tu na ukamaliza kila kitu kuna hisia kali sana hapo kwenye uume 😀
 
Unaigiziwa tu dada yangu hisia za mwanaume wala hazitafutwi kwa mbwbwe hivyo vile tukikuona ukiwa kwenye ule mwili uliombwa na Mungu afu tayari ushakua msosi wa baharia basi inatosha sana nani furaja isiyo na kipimo kwenye ubongo wa mwanaume
Mbona kma umepanic baba,,kunywa maji pumzika
 
kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi,kama zifuatazo

1. MASIKIO
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
za mwanadamu;
hapa mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya mwanaume awe na msisimko mkubwa.

2. SHINGONI
Sehemu hii ina hisia sana kwa kila kiumbe
kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo
mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya mwanaume achanganyikiwe zaidi juu yako
na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi Kkujua jinsi ya kumwekea na yeye "love bite" pia mwanamke unatakiwa uwe fundi wa kutumia ulimi wako na lips hapo kwenye shingo ya mwanaume

3. NGOZI
Namaanisha kushikana/kupapasana kabla ya kufanya lolote ni jambo zuri sana kwani utaufanya miili yenu isisimke kwa pamoja na kumfanya mwanaume mzunguko wake wa damu kuongezeka na kuwa wenye kasi hii itamsaidia uume kuwa wenye nguvu na kusimama kwa muda(kumuongezea pumzi ya kutomwaga haraka na hata akimwaga iimpe nguvu ya uume kutokulala baada ya kumwaga) na pia itampandisha hisia zake sana

4. BUSU LA DENDA
hii sio kitu cha kushangaza jinsi gani denda(deep kiss) linavyo sisimua na kuamsha hisia na kuongea hashki ya kufanya tendo la ndoa ila mwanamke inatakiwa ujue jinsi ya kumpagawisha mwanaume na Denda kwa kumyonya na kubite lips zake kimahaba tafadhali pia kwa kucheza na na ulimi wake kimahaba na sio kubadilishana mimate tuu mpe raha kuwa fundi kwenye denda asikumbuke kutoka nje kila mara akuwaze wewe tuu.

5. SEHEMU ZA JUU ZA UUME
hii ndio sehemu yenye kumchanganya zaidi mwanaume kimahaba na ndiko sehemu hisia zake za kimahaba zimekaa . hapa mwanamke haitaji ujuzi mwingi bali ni kujua ni wakati gani ni mguse eneo hilo na nimguse vipi

mfano; mme simama kwenye ukuta utamgusa kwa kumpapasa juu ya alichokivaa kwa kupandisha mkono na kuushusha huku ukimguga uume wake fanya hivyo mara 8 mpaka 10 kabla ya kuingiza mkono ndani na kuitoa nje ili kuishika vizuri kimahaba na labda kuanza kuinyonya kiufundi na kimahaba zaidi

vivyo hivyo hata mkiwa kitandani usikurupuke kumshika uume wake unatakiwa umlegeze na umchanganye kimahaba kwanza
na kwa kufanya ivyo itakusaidia kutunza uhusiano wako na mwenzi wako

6. G SPORT
G Sport ni mstari wa kiufundi sana katika mapenzi ni sehemu ambazo mwanaume yeyote ukizikamata lazima atulie na asisimke kwa hali ya juu. mstari huu si kwa mwanaume tu bali hata wanawake pia husisimka,
Leo naomba niwaambie huu mstari unatokea wapi. ukigusa mgongoni ukakutana na pingiri za mgongo ukizifuata hizi mpaka chini ukashuka nazo mpaka mbele katika uume utaona katika kende za wanaume kuna mstari. Ule sasa ndo unaitwa G sport , Mwanamke ukichukua kidole chako na kupapasa papasa huo mstari kwa kupanda na kushuka hapo unaweza kukamata hisia za Mwanaume na akashindwa kufanya lolote.


Ila usimbanie sana mwenza wako ujuzi wako na pia usipende kufanyia mapenzi gizani jiamini we ni mkali kwa mwenza wako na maumbile yako aliyo kuumbia Mungu
jitoe kwa mwenza wako

Wanaume na Wanawake mnakaribishwa kuchangia kuongezeana ujuzi
kende
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom