Ndugu zangu mimi ni huku Zambia.
- Mafuta yashushwa kwa K492 kwa litre
- Mshahara kima cha chini K2,000,000 kwa wafanyakazi wa migodini, makampuni yote ya wawekezaji (hado Shoprite).
- Ballot papers zitakuwa zinachapishwa Zambia kuanzia mwakani. Rais alisema, Kwanini miaka 47 ya uhuru tunaendelea kuchapicha nje ya nchi? Kama ni gharama, tutaingia tu
- Mawaziri wapunguzwa kutoka 23 hadi 19.
- Amedai pia kwamba haoni umuhimu wakuwa na wakuu wa wilaya.
Mbona hz kama vile ni sera za Chadema? ina maana CHM goes International?Ndugu zangu mimi ni huku Zambia.
- Mafuta yashushwa kwa K492 kwa litre
- Mshahara kima cha chini K2,000,000 kwa wafanyakazi wa migodini, makampuni yote ya wawekezaji (hado Shoprite).
- Ballot papers zitakuwa zinachapishwa Zambia kuanzia mwakani. Rais alisema, Kwanini miaka 47 ya uhuru tunaendelea kuchapicha nje ya nchi? Kama ni gharama, tutaingia tu
- Mawaziri wapunguzwa kutoka 23 hadi 19.
- Amedai pia kwamba haoni umuhimu wakuwa na wakuu wa wilaya.
Mkuu kafuta utaratibu wa wakuu wa wilaya kuteuliwa na rais na sasa watakuwa waajiriwa wa kawaida wa serikali(wataomba kazi).5.Amedai pia kwamba haoni umuhimu wakuwa na wakuu wa wilaya.
wewe ni taahira....unajua sukari kilo moja inauzwa tsh ngapi? na hapa tz inauzwaje? unajua tuna rasilimali kiasi gani? mwehu wePiga hesabu Kwacha 1=0.22 ya kitanzania
Ndugu zangu mimi ni huku Zambia.
- Mafuta yashushwa kwa K492 kwa litre
- Mshahara kima cha chini K2,000,000 kwa wafanyakazi wa migodini, makampuni yote ya wawekezaji (hado Shoprite).
- Ballot papers zitakuwa zinachapishwa Zambia kuanzia mwakani. Rais alisema, Kwanini miaka 47 ya uhuru tunaendelea kuchapicha nje ya nchi? Kama ni gharama, tutaingia tu
- Mawaziri wapunguzwa kutoka 23 hadi 19.
- Amedai pia kwamba haoni umuhimu wakuwa na wakuu wa wilaya.
Mkuu Kwacha moja ni sawa na US dollar ngapi au sawa Tsh ngapi,Hivi niandikapo bei ya mafuta imepanda tena hapa Dar diesel litre moja ni Tsh 2010
Hizo ndizo faida za kujitawala sisi wenyewe ndio tuliotaka kujitawala sasa tunacholalamika kitu gani?mkuu ni sawa kabisa kwamba huwezi kusema nchi ina amani wakati watu wanakula mlo mmoja......hospitalini wanalala chini....madawa hakuna....shuleni wanakalia mawe, wengine chini....wakati polisi wanabambikia watu kesi....wakati watu wakiandamana kwa amani wanapigwa risasi ni upuuzi kusema nchi ina amani.....
Mbona wanapata mishahara midogo namna hiyo?yaani dola $ 402.00 tu?2,000,000 Kwacha is $402.00 US huu ndio mshahara wa wana Migodi Zambia. I don't know how much watanzania wanapata.
That means One (1) USD = 4975.04 Zambia Kwacha
Mbona wanapata mishahara midogo namna hiyo?yaani dola $ 402.00 tu?
Tanzania kima cha chini wanapata ngapi? Kwa peas ya madafu $402.00 ni sawa na Tshs. 643,400, je kima cha chini Tanzania wanapata kiasi hicho?Mbona wanapata mishahara midogo namna hiyo?yaani dola $ 402.00 tu?
isitoshe mafuta yanapita kwenye bandali ya Dar na kuelekea Zambia...