Mkuu nafikiri umenielewa. CCM ilitengeneza uozo sawa. Lakini tuwe wakweli na sio kuchukulia vitu kijuujuu. Huyu bwana naona mbali nakuwa katika mtumbwi ule ule lakini anaonyesha kuwa atafanya kazi. Kumbuka baba wa Taifa aliwahi kusema: Watanzania wanataka mabadiriko na watayapata kupitia CCM, na wasipoyapata watayatafuta nje ya CCM. Kwa hiyo bado kuna uwezekano mkubwa wa Mhs Rais kufanya kweli. Mkuu tukubaliane kuwa UOZO ulifanywa na walio pita na yeye kama waziri asingeweza kufanya chochote kwani UOZO ulishakuwa na fangus.Aliyetengeneza UOZO hawezi kusafisha UOZO vizuri, yaani ccm.
Mkuu hawa jamaa lazima waelezwe UKWELI ili waelewe. Hata mtoto mdogo anajua kuwa Mhs Rais amekutana na UOZO wenye FANGUS. Bila hivyo angekuwa mbali. Na hii kazi si ajabu ikachukua hata miaka miwili. Performance yake kuhusu maendeleo ni baada ya hapo.Majizi Chadema ndio yanayompinga Magufuli ili awaachie mwanya wapige hela..
Wapuuzwe
Acha kujisifu ujinga, kila mtu huku ana Maisha yake toa hoja acha kutoa biography za kijinga, tuko hapa JF kujuana au kutoa hoja na michango mbalimbali kwa hoja zinazoletwa hapa! Kila mtu akianza kujielezea yeye ni nani hapa patatosha? Kizibau weweMkuu mimi sitafuti huo ukuu wa kata. Kama kusoma nimesoma. Na nimesomea Ujerumani. Kama kufanya kazi nimefanya kazi na makampuni makaubwa yenye heshima hapa ulaya na na USA. Kama unataka references zangu kuna watu wanaweza kukueleza mimi ni nani. inabidi tufike mahali tuache ujinga wa kinafiki. Huyu mhs Rais amefanya vizuri kama ni makosa yanaweza kurekebishwa lkn ukweli ni huo kuwa nchi ILIKUWA IMEOZA. Na nyie mnaopinga eleza ni kitu gani mungeweza kufanya KWANZA kama mungepata URAIS? Ninarudia kama Mhs Rais ameteleza mahali fulani basi isiwe ndo kumhukumu kuwa hafai. Wale walio uacha UOZO mnawatukuza kwa lipi? Kuruhusu maandamano? Je ni wangapi walipigwa na kupoteza maisha yao pale Arusha wakati wa mkutano wa kisiasa? Ukweli ni huo tu. Mhs Rais asilimia kubwa is doing very fine.
Acha kujisifu ujinga, kila mtu huku ana Maisha yake toa hoja acha kutoa biography za kijinga, tuko hapa JF kujuana au kutoa hoja na michango mbalimbali kwa hoja zinazoletwa hapa! Kila mtu akianza kujielezea yeye ni nani hapa patatosha? Kizibau wewe
Huwezi kueleweka coz watu wanataka wakilala, wakiamka wawe kwenye nchi ya asali na maziwa..!!
Majizi Chadema ndio yanayompinga Magufuli ili awaachie mwanya wapige hela..
Wapuuzwe
Nakubaliana na wewe kiongozi, kuna mahali serikali iliyopita ilikosea sana. Mtu anaamka saubuhi, anapiga dili, jioni anarudi na 1m. Then tutake maendeleo ya kufumba na kufumbua, haiwezekani kabisa.Mkuu basi kama ni hivyo kuna haja ya kulaani kabisa hasa serikali ya awamu ya NNE. How comes mtu anaamka asubuhi na kufunga tai na suti anafanya deal jioni anarudi na 1 mil. Hayo ndiyo wanayataka wapiga domu humu JF! Ninarudia Mhs Rais anafanya vizuri SANA na hao wanao kataa wana ajenda zao ambazo hata Mhs Rais ameisha zijua. Na wajue harudi nyuma. Swala la kuandamana linajadirika na hii isichukuliwe kufunika mazuri anayofanya Rais.
TUKO PAMOJA. Labda kwa kuongezea, hata hao wapinzani si kwamba hawafanyi kazi zao vizuri, la hasha! Lakini inabidi kufika mahali kukubali kuwa Mhs Rais ameanza vizuri na kuwa KOSA lake liwe specified na well addressed ili walio wengi waone UKWELI. Lakini siyo kosa moja kuonyesha Mhs Rais hajafanya kazi. Kichekesho MKUU: Labda watu wafanye political scientific simulation ili waweze kujiridhisha kuhusu WAPINZANI wangeanza na kipi kama wangelikuwa MADARAKANI!!!!Nakubaliana na wewe kiongozi, kuna mahali serikali iliyopita ilikosea sana. Mtu anaamka saubuhi, anapiga dili, jioni anarudi na 1m. Then tutake maendeleo ya kufumba na kufumbua, haiwezekani kabisa.