Maendeleo ya watu, huleta mahitaji ya vitu! Maendeleo ya vitu badala ya watu, tutakuwa kama North Korea!

You’re literally all over the map😀🤦🏾‍♂️

Which map? your kindergarten map.

I am all over the map for Tanzania to stand tall, to depend on itself.

Unafikiri unaweza kuongea hivi North Korea? Kuwa na mjadala wowote? Kutoa maoni yoyote.

Tunafanyaje? Tunamsahihisha when he got it wrong.? Tunamfukuza?tunamtukana?

Labda Tuweke mtu anayecheka vizuri, anavaa suti nzuri, mtoto wa mjini, asiye fanya chochote zaidi ya kuiba fedha zote za umma. Wote tutaridhika.
 
simply rubbish
 
simply rubbish

Huu ndio uwezo wako, wenu wa kujibu ukipewa hoja ngumu, ukiambiwa uje alternative plan. Mawazo mbadala.

Tunafanyaje? tunawaacha. Tunakuacha ufanye yako, kutukana, kupinga, matusi. Jukwaa ni lako, utashangiliwa na kupigiwa vigelele, utalindwa hapa.
 
Madikteta wote Upenda maendeleo ya vitu kuliko watu maana ndipo wanapopigia 10% japo ujifanya wasafi mbele ya jamii.Hakuna watu fisadi wezi kama madikteta thus ukandamiza demokrasia ili maouvu yao yasifahamike sema tu wameshindwa dhibiti tu technologia
 
Kwani mawazo niliyoweka siyo mawazo mbadala? Wewe ndo unayetakiwa kuja na hoja na siyo viroja!
 
Madikteta wote Upenda maendeleo ya vitu kuliko watu maana ndipo wanapopigia 10% japo ujifanya wasafi mbele ya jamii.Hakuna watu fisadi wezi kama madikteta thus ukandamiza demokrasia ili maouvu yao yasifahamike sema tu wameshindwa dhibiti tu technologia
Hapa ni ukweli mtupu bila chenga! Huwezi ukafanya mazuri halafu ukayaficha.
 
JMushi1 nafikiri ingekuwa vizuri ukapitia ilani za uchaguni wa 2015 za vyama vyote ilikupata mwanga kidogo kuwa huenda uelewa ni tatizo. Yaani unakuwa na idea na kitu lakini huna uelewa nacho.

Wanajamvi, vitu havileti maendeleo, bali maendeleo ya watu ndiyo yanayoleta vitu! Concept wamekosea!

Nimeumizwa sana baada ya serikali kusitisha ujenzi wa ile barabara ambayo ujenzi wake ulienda sambamba na kukiuka amri ya mahakama kuwa watu wasivunjiwe nyumba zao.

Hilo likanifanya nikumbuke kuhusu mjadala mkali sana humu JF. Kuhusu maendeleo ya watu na yale ya vitu! Kitendo kile kimeonyesha kutokujali kwa serikali yetu kuhusu watu na ubora wa maisha yao, na ndiyo maana kuna maelfu walikuwa homeless baada ya uvunjwaji wa makazi ya kuishi.

Watu wakipata maendeleo, mahitaji ya vitu yanaongezeka ili kuendana na maisha yao. Hata hizo Airport ni baada ya “demand”, ama hitaji la watu hao kutaka kusafiri mbali zaidi nk. Hata miundo mbinu mingine inaweza isilipe kwasababu haitakuwa effectively and efficiently utilized in a sustainable ways! Kwa maana kwamba miradi mingi inaweza kufikia mwisho wa maisha yake kabla haijatumika vyema, na pia shida kujiendesha yenyewe “sustainability”

Ndiyo maana naskia kuna sehemu zina traffic lights ambazo zinaongoza punda! Huo ni mfano hai wa kuacha kuboresha maisha ya watu, na badala yake kuwekeza kwenye vitu!

Hilo litatufanya tuwe kama North Korea! Ambao pia kiasi kikubwa wanawekeza kwenye ulinzi wa utawala wao! Lakini pia wanayo miundo mbinu ya ukweli kabisa! Pyongyang imejengwa ikajengeka! Na wale wachache walioko karibu na utawala ndipo wanapoishi! Lakini miundo mbinu hiyo hata haina watu wa kuitumia! Masuper highways na macrossovers lakini magari ya kuhesabu! Skyscrapers ndo usiseme, lakini wapangaji ni ze!

Yote hayo ni kwasababu hakuna uhitaji! Na uhitaji utapatikana pale watakapoboresha maisha ya wananchi wao ambao asilimia kubwa wako vijijina na wanakufa njaa!

Kwa jinsi nionavyo, ndipo tunapotaka kwenda! Ukishaona Taifa limepoteza utu! Basi ujuwe kuna shida! Utu ukiwepo, maendeleo ya watu yatakuwepo na ndipo mahitaji ya vitu yataongezeka! Huo ndo utaratibu!

Maisha yakiwa bora kwa wananchi wengi, siyo tu kwamba mahitaji yao yanaongezeka, bali kodi nayo inaongezeka, ambapo sasa inatumika kuyakidhi mahitaji ya vitu kwenye maisha ya watu!

Mtu ni utu! Mtu pasipo utu si mtu!

View attachment 1095624
View attachment 1095625
View attachment 1095626
View attachment 1095627

Hii ndiyo itakuwa hoja yetu upinzani na watu wa Namtumbo, Serengeti, Chunya, Bagamoyo, Kilwa Kipatimu, Uyui , Mpanda n.k haya mavitu yanayoitwa kwa kifupi Maendeleo ya Vitu kama Bombadier , Dreamliner, Flyovers , madaraja ya baharini, kipande kifupi cha SGR reli mpya Dar-Moro hayana faida kwetu sisi.
 
Wachumi wetu watuelimishe kwa nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia 67% wakulima watafaidikaje na Flyovers, Ndege, Stigler Gorge, na SGR.

Labda miradi hii itazalisha supper profit ndio iwekezwe kwenye kilimo.

Let's give him enough time kukamilisha miradi.
P
Kuzalisha hapo juu labda Ndege! Ila naskia huwa zinaedeshwa kwa hasara?

Fly-overs kwa maoni yangu pesa ingepelekwa kwenye kilimo na wakulima vijijini! Unavutia wananchi vijijini na siyo waje kushangaa mjini! Nadhani hatukujifunza tokea mwanzo hata kutoka Nairobi?

SGR pengine, labda itasaidia kusafirisha mazao ya wakulima kwa haraka nk.

Wa Umeme pia utasaidia kwenye kilimo na viwanda.
 
JMushi1 nafikiri ingekuwa vizuri ukapitia ilani za uchaguni wa 2015 za vyama vyote ilikupata mwanga kidogo kuwa huenda uelewa ni tatizo. Yaani unakuwa na idea na kitu lakini huna uelewa nacho.
Weka ilani yenu hapa.
 
Hii ndiyo itakuwa hoja yetu upinzani na watu wa Namtumbo, Serengeti, Chunya, Bagamoyo, Kilwa Kipatimu, Uyui , Mpanda n.k haya mavitu yanayoitwa kwa kifupi Maendeleo ya Vitu kama Bombadier , Dreamliner, Flyovers , madaraja ya baharini, kipande kifupi cha SGR reli mpya Dar-Moro hayana faida kwetu sisi.
Huu ndo ukweli! Juzi waziri mkuu eti alishangaa! Wakati wa uchaguzi una mambo mengi😀🤦🏾‍♂️
 
Wachumi wetu watuelimishe kwa nchi inayotegemea kilimo kwa asilimia 67% wakulima watafaidikaje na Flyovers, Ndege, Stigler Gorge, na SGR.

Labda miradi hii itazalisha supper profit ndio iwekezwe kwenye kilimo.

Let's give him enough time kukamilisha miradi.
P
Ikumbukwe kuwa sekta ya kilimo hutegemea sana sekta nyingine za msingi kama vile miundombinu, nishati, viwanda, nk ili iweze kukua na kuwa na tija. Miongoni mwa sababu sekta yetu ya kilimo haina tija kwa miaka nenda rudi ni uhafifu wa miundombinu.

Kutowekeza kwenye miundombinu bora na toshelezi kwa kipindi kirefu kumechangia sana kuzorotesha sekta hii.

Ikumbukwe pia kuwa siyo wajibu wa serikali kuwekeza moja kwa moja kwenye sekta ya kilimo (iko hivyo kwenye sekta zingine pia). Hivyo kuna swali gumu juu ya namna sahihi ya kuiendeleza sekta ya kilimo.

Nchi nyingi zilizofanikiwa hukwepa serikali zao kuwekeza moja kwa moja kwenye uzalishaji (acha sekta nyeti kama madini, mafuta, chuma, silaha, nk). Kama mchumi ninaona ni vema kuwekaza zaidi kwenye kuifungulia njia sekta ya kilimo kuliko kuipelekea pesa ilhali njia bado zimefungwa.

Mfano wa namna miundombinu inavyoweza kuikwamua sekta ya kilimo ni suala la kujenga cold rooms kwenye viwanja vyetu vya ndege vya kimataifa na kununua ndege ya mizigo. Hapo wazalishaji wataweza kuyafikia masoko kirahisi tofauti na kusema serikali kwa mfano ikajenge greenhouses ilhali hakuna namna rahisi ya kuyafikia masoko husika.
 
Wanajamvi, vitu havileti maendeleo, bali maendeleo ya watu ndiyo yanayoleta vitu! Concept wamekosea!

Nimeumizwa sana baada ya serikali kusitisha ujenzi wa ile barabara ambayo ujenzi wake ulienda sambamba na kukiuka amri ya mahakama kuwa watu wasivunjiwe nyumba zao.

Hilo likanifanya nikumbuke kuhusu mjadala mkali sana humu JF. Kuhusu maendeleo ya watu na yale ya vitu! Kitendo kile kimeonyesha kutokujali kwa serikali yetu kuhusu watu na ubora wa maisha yao, na ndiyo maana kuna maelfu walikuwa homeless baada ya uvunjwaji wa makazi ya kuishi.

Watu wakipata maendeleo, mahitaji ya vitu yanaongezeka ili kuendana na maisha yao. Hata hizo Airport ni baada ya “demand”, ama hitaji la watu hao kutaka kusafiri mbali zaidi nk. Hata miundo mbinu mingine inaweza isilipe kwasababu haitakuwa effectively and efficiently utilized in a sustainable ways! Kwa maana kwamba miradi mingi inaweza kufikia mwisho wa maisha yake kabla haijatumika vyema, na pia shida kujiendesha yenyewe “sustainability”

Ndiyo maana naskia kuna sehemu zina traffic lights ambazo zinaongoza punda! Huo ni mfano hai wa kuacha kuboresha maisha ya watu, na badala yake kuwekeza kwenye vitu!

Hilo litatufanya tuwe kama North Korea! Ambao pia kiasi kikubwa wanawekeza kwenye ulinzi wa utawala wao! Lakini pia wanayo miundo mbinu ya ukweli kabisa! Pyongyang imejengwa ikajengeka! Na wale wachache walioko karibu na utawala ndipo wanapoishi! Lakini miundo mbinu hiyo hata haina watu wa kuitumia! Masuper highways na macrossovers lakini magari ya kuhesabu! Skyscrapers ndo usiseme, lakini wapangaji ni ze!

Yote hayo ni kwasababu hakuna uhitaji! Na uhitaji utapatikana pale watakapoboresha maisha ya wananchi wao ambao asilimia kubwa wako vijijina na wanakufa njaa!

Kwa jinsi nionavyo, ndipo tunapotaka kwenda! Ukishaona Taifa limepoteza utu! Basi ujuwe kuna shida! Utu ukiwepo, maendeleo ya watu yatakuwepo na ndipo mahitaji ya vitu yataongezeka! Huo ndo utaratibu!

Maisha yakiwa bora kwa wananchi wengi, siyo tu kwamba mahitaji yao yanaongezeka, bali kodi nayo inaongezeka, ambapo sasa inatumika kuyakidhi mahitaji ya vitu kwenye maisha ya watu!

Mtu ni utu! Mtu pasipo utu si mtu!

View attachment 1095624
View attachment 1095625
View attachment 1095626
View attachment 1095627

Ujinga mzigo Sana! Nenda kawaambie Wana Arusha ambao ndio wameiona treni kwa Mara nyingine baada ya miaka 30! Pia nenda ukawaeleze upuuzi huo Wana wa Bukoba ambao baada ya miaka zaidi ya6 ndio Jana wameipanda New Mv. Victoria! Kawaambie watu wa kigoma, Katavi, Tabora, na wanavijiji kote nchini ambao Sasa ktk nyumba zao za nyasi wanataa za umeme wa Lea na wengine wanafanya welding vijijini nA kujipatia ajira! Watu wengine ni mpaka mnatia huruma...mnajitengenezea wenyewe mazingira ya kupiga Mawe majukwaani kwa kubwabwaja upumbafu🤔!
 
Ujinga mzigo Sana! Nenda kawaambie Wana Arusha ambao ndio wameiona treni kwa Mara nyingine baada ya miaka 30! Pia nenda ukawaeleze upuuzi huo Wana wa Bukoba ambao baada ya miaka zaidi ya6 ndio Jana wameipanda New Mv. Victoria! Kawaambie watu wa kigoma, Katavi, Tabora, na wanavijiji kote nchini ambao Sasa ktk nyumba zao za nyasi wanataa za umeme wa Lea na wengine wanafanya welding vijijini nA kujipatia ajira! Watu wengine ni mpaka mnatia huruma...mnajitengenezea wenyewe mazingira ya kupiga Mawe majukwaani kwa kubwabwaja upu_mbafu🤔!
 
Uzi mmoja mzuri sana kwa kuwaelimisha wenzetu wanao shupaza mishipa ya shingo zao
 
Back
Top Bottom