Maendeleo ya siasa yetu

mr wilehard

Member
Jun 29, 2015
49
23
MAENDELEO YA SIASA
~~~~~~~~~~

SIASA ya Tanzania inakuwa kwa mwelekeo hasi.
viongozi wanashindana kumake headlines na kuoneshana ubabe sio hoja za kujenga au maendeleo. Kwa sasa kuna wanasiasa hata akitoa hoja ya msingi hatuitilii maanani kwani tunataka tusikie nani kamshinda nani!!

awamu ya nne tuliona SIASA ilikuwa ya muhimu sana kwa ajili ya uadilifu wa serikali na maendeleo ya taifa.
Kwa sasa ni
-kuchafuana
-kuongeza umaarufu
-kushindana
Bora kukaa kimya kuliko kuropoka pasipo faida kwa taifa.

Hebu tuendelee na siasa za maendeleo hizi za matusi hazitufaidi hata kidogo.

pita Facebook search mzalendo Tz kwa mengi

 
Siasa za tanzania ni zakinafiki sana.. Leo utasikia mzitto akiikosoa fisiem lakini kesho anapokea kitita cha pesa kuanzisha upande mwingine wa kuigawa cdm
 
Back
Top Bottom