mbunifu yeyote hapa Tanzania ni uhaini, watu wataendelea kubuni lakini hakuna support yoyote kutoka kwa serkali. Wapo waliobuni magobole wakaishia segerea eti wanahatarisha amani, kuna mwingine alibuni radio ya kurusha matangazo akaambiwa hana kibali cha kufanya hivyo