Maendeleo ya kesi ya kubaka inayomkabiri Kapuya

Maendeleo ya kesi ya kubaka inayomkabiri Kapuya

mrutu

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
20
Reaction score
2
Naomba wadau mnisaidie kuhusu hii nchi yangu Tanzania, hivi ile taarifa iliyovuma ya Prof Juma Kapuya na yule binti au ndiyo tuseme mwenye pesa habuguziwi au kesi IPO mahakamani au ni vipi.

Naombeni msaada, mimi pia na jamiii nzima nategemea jamiiforums mpo juu tofauti na magazeti yetu ya Tanzania.
 
Kapuya kama maprofessa wengi walio CCM wanasambaza UKIMWI makusudi hawashtakiwi wala kesi zao hutazisikia. Mwingine anayesambaza UKIMWI ni Mwenyekiti wa CCM
 
nani kakuambiaa kapuya ana kesi kwanza huyo binti si ajabi kashashikishwa mlungula katuliaaa inawezekanaaa na huyo binti alikuaaa a njaaaa piaa licha ya kudai kabakwa....
 
"Ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa Mbinguni"
Ni rahisi kwa matajiri/Viongozi kuvunja sheria kwa makusudi bila kufanywa lolote hapa duniani,kwa kuwa wanyonge hawana haki.Tusubiri siku ya hukumu.Judgement Day
 
Let see the end of it, if its true then mzee wetu proffesa atapotea kama vole dito alivopotea but if not true then nothing ill happen
 
Waziri Mkuu mtarajiwa awe na kesi ya kujibu? upo dunia gani mwenzetu?
 
Let see the end of it, if its true then mzee wetu proffesa atapotea kama vole dito alivopotea but if not true then nothing ill happen

If not true? Hivi unafikiri kama ile habari ingekuwa haina ukweli Tanzania Daima wangepona? Hapo ilikuwa ndio wakati sahihi wa kuwangongea baharini maana walikuwa wamejiingiza kwenye 18 za watawala kwa kutoa uongo. Lakini unapoona mambo yanaisha kimya kimya na adui( Tanzania Daima) anaachwa kama swala mbele ya simba basi ujue habari ile ilikuwa na ukweli 100%.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
hehehe mwenye ukimwi wake keshaambukizwa na muzee wetu wa akudo impakiti anaendelea kuwa choooma loh,THIS COUNTRY BWANA! ila ipo siku hata wajukuu zao watalipa tuuu!
 
Kapuya kama maprofessa wengi walio CCM wanasambaza UKIMWI makusudi hawashtakiwi wala kesi zao hutazisikia. Mwingine anayesambaza UKIMWI ni Mwenyekiti wa CCM

We jamaa..ndio hizi fake IDs ndo zimekufanya hata usiwe mstaarabu kiasi hiki?
 
Kwanza gazeti lenyewe liliokuwa linaendesha hii kesi unalijua?
 
If not true? Hivi unafikiri kama ile habari ingekuwa haina ukweli Tanzania Daima wangepona? Hapo ilikuwa ndio wakati sahihi wa kuwangongea baharini maana walikuwa wamejiingiza kwenye 18 za watawala kwa kutoa uongo. Lakini unapoona mambo yanaisha kimya kimya na adui( Tanzania Daima) anaachwa kama swala mbele ya simba basi ujue habari ile ilikuwa na ukweli 100%.

Sent from my iPad using JamiiForums

Kula likke zangu elfu 9,ni kweli
 
Kapuya kama maprofessa wengi walio CCM wanasambaza UKIMWI makusudi hawashtakiwi wala kesi zao hutazisikia. Mwingine anayesambaza UKIMWI ni Mwenyekiti wa CCM

mkuu hata mkulu kapigwa shoti!??vp mzee wa ugoni Chemba???...
 
Back
Top Bottom