Maendeleo ya daraja la Nyerere, Kigamboni na mradi wa mabasi ya mwendokasi

Nachinguru

Member
Jul 7, 2016
24
5
Hivi majuzi, mkurugenzi mkuu wa nssf alitoa taarifa juu ya mwenendo wa kifedha kwa kuvuka pale Darajani. Makusanyo kwa takribani miezi miwili ni tshs 1.3bilioni, kufanya makusanyo ya 22milioni per day. Daraja hili limekadiriwa kuishi miaka 105. Kwa sababu ni daraja hakuna service itakayo fanya daraja lisimamishwe kupita, kwa maana nyingine kila siku litapitwa. Kwa mtiririko huo miaka 20 tu pesa ya nssf imerudi. Mie hoja yangu hapa ni tozo kubwa mno kwa pale darajani. Iko haja ya kufikiria upya ili kupunguza makali ya kupita darajani kwa gari. Say Saloon tshs1000 na Station wagon tshs1500. n.k.

Secondly; ni Mradi wa mabasi ya mwendo kasi, napo juzi ofisa mmoja alikuwa ametowa utaratibu mpya wa tiketi. Lakini kubwa kwangu ni pale alipotoa idadi ya abiria kwa siku. Abiria 150,000 hadi 200,000 kwa siku. Mavuno kwa siku ni kama tshs 90,000,000m au tshs 130,000,000 kwa siku. Napo hapa kama mwelekeo ni huo iko haja ya ku'review' nauli. Mie naona kupunguza makali ya maisha yanayojitokeza hivi sasa nauli iwe 400. Gharama za uendeshaji kwa siku, kwa gari hizi za mchini sio nyingi kwa mafuta. Ndugu zangu Tujadili haya mawili kwa kina. Wahusika kama data zina mushkiri watusaidie kutupa usahihi wake.
 
Serikali kazi yake si kutetea wananchi! Tafuta data za uhakika uzifanyie analysis then peleka kwa mkuu wa mkoa apo !anaeza fanya kitu!
 
Hivi majuzi, mkurugenzi mkuu wa nssf alitoa taarifa juu ya mwenendo wa kifedha kwa kuvuka pale Darajani. Makusanyo kwa takribani miezi miwili ni tshs 1.3bilioni, kufanya makusanyo ya 22milioni per day. Daraja hili limekadiriwa kuishi miaka 105. Kwa sababu ni daraja hakuna service itakayo fanya daraja lisimamishwe kupita, kwa maana nyingine kila siku litapitwa. Kwa mtiririko huo miaka 20 tu pesa ya nssf imerudi. Mie hoja yangu hapa ni tozo kubwa mno kwa pale darajani. Iko haja ya kufikiria upya ili kupunguza makali ya kupita darajani kwa gari. Say Saloon tshs1000 na Station wagon tshs1500. n.k.

Secondly; ni Mradi wa mabasi ya mwendo kasi, napo juzi ofisa mmoja alikuwa ametowa utaratibu mpya wa tiketi. Lakini kubwa kwangu ni pale alipotoa idadi ya abiria kwa siku. Abiria 150,000 hadi 200,000 kwa siku. Mavuno kwa siku ni kama tshs 90,000,000m au tshs 130,000,000 kwa siku. Napo hapa kama mwelekeo ni huo iko haja ya ku'review' nauli. Mie naona kupunguza makali ya maisha yanayojitokeza hivi sasa nauli iwe 400. Gharama za uendeshaji kwa siku, kwa gari hizi za mchini sio nyingi kwa mafuta. Ndugu zangu Tujadili haya mawili kwa kina. Wahusika kama data zina mushkiri watusaidie kutupa usahihi wake.
Hapo kwenye mwendo kasi sipaelewi naona kama wanatuibia posta kimara 650.kimara mbezi 400 sio haki kabisa kwa usawa huu
 
Nauli lazima ishuke kwani abiria ni wengi na revenue ni kubwa. Na mredi hauna gharama kubwa kihivyo za uendeshaji. Hawanaga kukaa foleni.
 
Back
Top Bottom