Maendeleo tanzania ni ndoto endelevu!!!!

mdau kbt

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
401
250
dah!maendeleo siyaoni tena
mbele yangu kwa taifa langu
la Tanzania!! sababu
inayafanya taifa hili kuwa
masikini,kuwa na gap kubwa
ya tajiri na masikini
1.ubinafsi kwa sasa ni swala
linalotutafuna kwa muda
sasa na kila zao lijalo ni zao
la ubinafsi kwa ni baba zao
ni wabinafsi kwa hiyo urithi
huu huendelea kukua na
kukomaa kutoka kizazi
kimoja hadi kingine. swala la
kuwa na elimu kwa sasa
imekua ni sababu ndogo
kwenye kudumaa kwa
maendeo kuliko ubinafsi
>ubinafsi limezalisha
mafisadi na linaendelea
kuzalisha mafisadi
waliokomaa kwa taifa langu.
kuna usemi udemao mtoto
wa nyoka ni nyoka tu,hapa
kama kwasasa tuna mafisadi
hata watoto wanaosadikiwa
kuwa taifa la kesho watakua
mafisad hapa ndio nazidi
kata tamaa ya maendeleo
kwa taifa langu
 

fakenology

JF-Expert Member
May 3, 2012
924
1,000
hakuna marefu yasiyo na ncha bro.
ila nna wasiwasi hadi kufika kwenye ncha yawezekana ukawa umeshatoweka kwenye uso wa dunia.
 

Sista

JF-Expert Member
Sep 29, 2013
3,209
2,000
Babu the white hair ataibadili njii hii mpe kura yako 2015
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom