Maendeleo na kanuni zake

Maendeleo na kanuni zake

Ndeonasiah

New Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
2
Reaction score
3
Hapa duniani kila mtu/ nchi anapenda/inapenda maendeleo ila kanuni kuu ya maendeleo hatuifahamu ambayo ni kufanya kazi kwa bidii.Pia kujitolea,kuvumilia,kusamehee ,kuamini kile ukifanyacho na kikuu zaidi ni kuhakikisha huyapotezi au kuyabadilisha malengo yako kamwe!

Halafu pia kutokushindana na mtu yeyote na unatakiwa kushindan na ww mwenyewe au uwezo wako tu, sababu adui mkubwa wa maendeleo yako ni ww mwenyewe kwa kutokufuata kanuni za maendeleo.
 
Back
Top Bottom