https://www.jamiiforums.com/member.php?u=157706https://www.jamiiforums.com/member.php?u=157706 baba utafiti njoo umwone huyu mtomvu wa nidhamu anasema nini?
Kila weekend natoka na familia yangu...ntapata wapi mda wakutoka na mwengine???
Mwanangu wewe niskilize mimi hawa vajana wasiku hizi ni shida tu...
Baba yako huo ndo anakuuza kwa makoyo
baba yangu hakupendi kabisa
ukoo wetu mkubwa sana unaanzia sanya juu unapita kiteto mpaka ngorongoro
unamsemea? ningekubali mwaliko ungekua unaniita mama saivi
unamsemea? ningekubali mwaliko ungekua unaniita mama saivi
Achana nao hao Ukoo Wa Bazazi na mazazi!
Kila weekend natoka na familia yangu...ntapata wapi mda wakutoka na mwengine???
ahahahahaahah
mwanao ashajua tayari
mimi sitaki kuwa na mama kama wewe
mzazi ni dada yako mwallu tu
Baba yako ndo kapenda sasa!